Waandaaji wa Tamasha la Asake na Gabzy Washtakiwa kwa Uzembe
Familia ya marehemu Karen Lojore imewasilisha rasmi kesi mahakamani ikidai fidia ya Shilingi milioni 100 za Kenya kufuatia kifo cha binti huyo kilichotokea katika tamasha la muziki lililofanyika Uwanjani Nyayo mwezi Disemba mwaka jana. Kwa mujibu wa nyaraka zilizowasilishwa mahakamani, Karen alipoteza maisha baada ya kutokea msongamano mkubwa wa watu (crowd surge) wakati wa tamasha […]
Read More