BAHATI AFUNGUKA CHANZO CHA UKIMYA WAKE

BAHATI AFUNGUKA CHANZO CHA UKIMYA WAKE

Hatimaye staa wa muziki nchini Bahati ameamua kuvunja kimya chake kwa mara ya kwanza baada ya kupoteza ubunge wa Mathare kwenye uchaguzi mkuu wa Agosti 9 mwaka huu. Kwenye mahojiano na Nairobi News mkali huyo wa ngoma ya “Adhiambo” amefichua kuwa hali sio shwari katika familia yake hasa upande mke wake Diana. Bahati hata hivyo […]

Read More
 MASAUTI AKIRI KUPATA UGUMU KUFIKIA BAHATI

MASAUTI AKIRI KUPATA UGUMU KUFIKIA BAHATI

Hitmaker wa “Sing’oki”, msanii Masauti amekiri kupata ugumu kumfikia msanii mwenzake Bahati tangu kukamilika kwa uchaguzi mkuu Agosti 9 mwaka huu nchini Kenya. Masauti amedai Bahati hapokei simu wala hajibu jumbe zake kwenye mtandao wa Instagram, kitendo ambacho kinampa wasi wasi kuhusu hali ya mkali huyo wa ngoma ya “Adhiambo.” Kauli ya Masauti imekuja mara […]

Read More
 BAHATI AKIRI BADO NI MWANAMUZIKI WA NYIMBO ZA INJILI

BAHATI AKIRI BADO NI MWANAMUZIKI WA NYIMBO ZA INJILI

Hitmaker wa ngoma ya “Adhiambo”, Msanii Bahati amedai kwamba bado yeye ni msanii wa injili kwani alimuahidi Mungu kwamba hatawahi kumuacha. Akizungumza kwenye mahojiano na Mzazi Willy M. Tuva, msanii huyo amesema kwamba mafanikio yake katika maisha yameletwa na neema ya Mungu, hivyo basi hawezi kuziacha njia zake. Katika hatua nyingine Bahati ametusanua kuhusu ndoto […]

Read More
 BAHATI AWAJIBU WANAOMKOSOA MTANDAONI KWA KUSHINDWA UBUNGE MATHARE

BAHATI AWAJIBU WANAOMKOSOA MTANDAONI KWA KUSHINDWA UBUNGE MATHARE

Mwanamuziki aliyegeukia siasa, Bahati amewajibu kitaalamu wanaomubeza kwenye mitandao ya kijamii baada ya kupoteza kiti cha ubunge Mathare kwenye uchaguzi mkuu uliokamilika majuzi nchini Kenya. Katika mahojiano yake hivi karibuni Bahati amesema hatojutia maamuzi yake ya kuwania ubunge Mathare kwa kuwa amejifunza mambo mengi kwenye ulingo wa siasa licha ya kwamba zoezi zima la kuhesabu […]

Read More
 BAHATI AWEKA WAZI GHARAMA YA KAMPEINI YAKE YA KISIASA

BAHATI AWEKA WAZI GHARAMA YA KAMPEINI YAKE YA KISIASA

Mwanamuziki Kevin Bahati Kioko maarufu kama Bahati ambaye pia ni mgombea Ubunge katika Jimbo la Mathare kwenye Uchaguzi Mkuu wa mwaka huu nchini, amefunguka kiasi cha pesa ambacho ametumia hadi sasa kwenye kampeni zake. Kwenye mahojiano yake na Millard Ayo, Bahati ambaye anagombea nafasi hiyo kwa tiketi ya chama cha Jubilee amesema ametumia kiasi cha […]

Read More
 BAHATI AFUNGUKA KUVAMIWA NA MAJANGILI KUMSHINIKIZA AJIONDOE UBUNGE MATHARE

BAHATI AFUNGUKA KUVAMIWA NA MAJANGILI KUMSHINIKIZA AJIONDOE UBUNGE MATHARE

Msanii aliyegeukia siasa Bahati amedai kuwa mpenzi wake Antony Oluoch alimtumia majangili kumtishia maisha ili ajiondoe kwenye azma yake ya ubunge Mathare Kupitia mitandao yake ya kijamii Bahati amesema vijana hao ambao sio wakaazi wakaazi alimvamia na kumpiga kiasi cha kurarua shati lake la chama chake cha Jubilee huku wakimtishia kuwa wataangamazia kama atajiuzulu kwenye […]

Read More
 BAHATI NA DIANA B MBIONI KUPATA MTOTO WATATU

BAHATI NA DIANA B MBIONI KUPATA MTOTO WATATU

Wanandoa mashuhuri nchini Diana Marua na Bahati wamefichua kuwa wanatarajia kupata mtoto wa tatu hivi karibuni. Wakitoa taarifa hiyo njema kwenye chaneli yao ya You Tube, wanandoa hao wamesema kwamba tayari ‘wanampenda’ mtoto wao huyo ambaye hajazaliwa. “kila siku nakutafutia , kwa vile nakulombotov … nakutamkia baraka, nakutakia fanaka, kutoa sadaka nyota yako itawaka, tamka […]

Read More
 EDWIN SIFUNA AMVUA NGUO BAHATI BILA HURUMA, ADAI THAMANI YAKE NI KSH. 200.

EDWIN SIFUNA AMVUA NGUO BAHATI BILA HURUMA, ADAI THAMANI YAKE NI KSH. 200.

Katibu wa chama cha ODM Edwin Sifuna amepuzilia mbali madai yaliyoibuliwa na staa wa muziki nchini Bahati kuwa alihongwa shillingi millioni 50 kujiondoa kwenye kinyanganyiro cha ubunge Mathare. Mwanasiasa huyo amesema madai ya Bahati ambaye ni mchanga kisiasa hayana ukweli wowote, hivyo msanii huyo anatumia mgogoro uliopo kati yake na chama cha Jubilee kutafuta uhuruma […]

Read More
 DIANA B AMKINGIA KIFUA BAHATI KUFUKUZWA EMBAKASI MASHARIKI

DIANA B AMKINGIA KIFUA BAHATI KUFUKUZWA EMBAKASI MASHARIKI

Mwanamitandao aliyegeukia muziki Diana B amevunja kimya chake mara baada ya mume wake ambaye ni mgombea wa kiti cha ubunge Mathare Kevin Bahati kufukuzwa kwenye mkutano wa kisiasa wa Azimio la umoja huko Embakasi Mashariki, jijini Nairobi. Kupitia Instagram yake Diana B amempa moyo mume wake kwa kusema kwamba aendelee kuipigania ndoto yake kuwa mbunge […]

Read More
 BAHATI AKIRI  KUHONGWA MILLIONI 50 KUJIONDOA KWENYE KINYANG’ANYIRO CHA UBUNGE MATHARE

BAHATI AKIRI KUHONGWA MILLIONI 50 KUJIONDOA KWENYE KINYANG’ANYIRO CHA UBUNGE MATHARE

Staa wa muziki nchini  Bahati amefunguka tusioyajua kuhusu azma yake ya  kuwa mwanasiasa Akizungumza na Radio Citizen, Bahati amesema alihongwa shilling millioni 50 kujiondoa kwenye kinyang’anyiro cha ubunge Mathare ili kumpa nafasi mpinzani wake Anthony Oluoch nafasi ya kiti chake kwa mara ya pili kwenye uchaguzi wa Agosti 9. Msanii huyo amesema kuwa wapinzani wake […]

Read More