BEBE COOL AKANUSHA MADAI YA KUSTAAFU MUZIKI
Msanii nguli wa muziki kutoka nchini Uganda Bebe Cool amedai kwamba hana mpango wa kustaafu muziki licha ya kuwa kwenye game kwa takriban miongo miwili. Akizungumza kwenye moja ya interview Hitmaker huyo wa “Boss Lady” ambaye juzi kati alikuwa anasherekea miaka 45 tangu kuzaliwa kwake, amesema hatostaafu muziki katika kipindi cha miaka 5 ijayo kama […]
Read More