Vijana Wanaofanana na Mastaa wa Bongofleva Watikisa Mitandao ya Kijamii

Vijana Wanaofanana na Mastaa wa Bongofleva Watikisa Mitandao ya Kijamii

Vijana wanaofanana kwa karibu na mastaa wakubwa wa Bongo Fleva akiwemo Jux, Diamond Platnumz, Rayvanny, Mbosso, Marioo pamoja na Jay Melody wamezua gumzo kubwa mitandaoni, baada ya picha na video zao kusambaa kwa kasi katika majukwaa mbalimbali ya kijamii. Katika video hiyo inayosambaa mtandaoni, vijana hao wanaonekana wakiwa wamevaa na kujipamba kwa mitindo inayofanana kabisa […]

Read More
 El Mando: Mashabiki Hawana Uwezo wa Kuuua Muziki wa Bongo Fleva

El Mando: Mashabiki Hawana Uwezo wa Kuuua Muziki wa Bongo Fleva

Mdau na mchambuzi wa masuala ya burudani kutoka Tanzania, El Mando, amesema kuwa mashabiki hawana uwezo wa kuushusha muziki wa Bongo Fleva, akisisitiza kuwa muziki huo umejengwa na kupiganiwa kwa muda mrefu na wadau wengi. Akipiga stori na Bongoplus, El Mando amesema misukosuko ya kisiasa na mijadala ya mitandaoni haiwezi kuuangamiza muziki ambao umejijengea msingi […]

Read More
 Msanii TID Alalamikia Kutolipwa Mirabaha na Kukosa Mikopo

Msanii TID Alalamikia Kutolipwa Mirabaha na Kukosa Mikopo

Msanii nguli wa muziki kutoka Tanzania, TID (Top In Dar), ameelezea masikitiko yake kuhusu changamoto zinazowakumba wasanii nchini humo, hasa kutolipwa mirabaha yao licha ya kazi zao kuendelea kutumika kwenye vyombo mbalimbali vya habari. Kupitia mitandao ya kijamii, TID alisema kuwa licha ya wasanii kukosa fursa za mikopo na msaada wa kifedha, hata haki yao […]

Read More
 Harmonize Aendelea Kuumia Kimapenzi, Aandika Machungu Snapchat

Harmonize Aendelea Kuumia Kimapenzi, Aandika Machungu Snapchat

Msanii maarufu wa Bongo Fleva, Harmonize, anaonekana kupitia kipindi kigumu upande wa mahusiano licha ya kuwa na jina kubwa kwenye tasnia ya muziki na utajiri wa kutosha. Kupitia akaunti yake ya Snapchat, Harmonize amemwaga hisia zake kwa uchungu kuhusu mpenzi wake ambaye bado hajawa tayari kumkubali kikamilifu kwenye maisha yake. Katika ujumbe wake, Harmonize alieleza […]

Read More
 Hanstone Aibua Madai Mazito Dhidi ya WCB Wasafi

Hanstone Aibua Madai Mazito Dhidi ya WCB Wasafi

Msanii wa Bongo Fleva, Hanstone, amevunja ukimya kuhusu maisha yake ndani ya lebo ya WCB Wasafi, akieleza hadharani changamoto alizokumbana nazo kipindi alichokuwa akihudumu humo. Akizungumza juzi kwenye mahojiano, Hanstone alidai kuwa alikaa ndani ya WCB kwa kipindi cha miaka mitatu bila kutambulishwa rasmi kama msanii wa lebo hiyo. Katika kipindi hicho, alieleza kuwa alihusika […]

Read More
 Harmonize Atamani Kuwa Baba, Aonyesha Mradi Mkubwa wa Ujenzi

Harmonize Atamani Kuwa Baba, Aonyesha Mradi Mkubwa wa Ujenzi

Msanii nyota wa Bongo Fleva, Harmonize, ameonesha hatua nyingine kubwa katika maisha yake ya kifedha na ya binafsi baada ya kuposti kwenye Instagram Story picha ya mjengo mkubwa unaoendelea kujengwa, ishara ya mafanikio na uthibitisho wa ndoto alizowahi kuzielezea huko nyuma. Picha hiyo, iliyopambwa na maneno “My future so bright, I need a son now”, […]

Read More
 ERIC OMONDI AWATOLEA UVIVU WASANII TANZANIA, ADAI MUZIKI WA BONGOFLEVA UMEKUFA

ERIC OMONDI AWATOLEA UVIVU WASANII TANZANIA, ADAI MUZIKI WA BONGOFLEVA UMEKUFA

Baada ya kuuzungumzia sana muziki wa Kenya kiasi cha kukamatwa na polisi , akidai kuwa muziki Kenya unakufa na wasanii wake hawajitumi, mchekeshaji maarufu nchini Eric Omondi ameugeukia muziki wa Bongofleva na wasanii wake akidai muziki wa amapiano unaua utambulisho wa muziki wa Bongofleva kutoka Tanzania. Kupitia ukurasa wake wa Instagram mchekeshaji huyo mwenye zaidi […]

Read More