Baby Mama wa Mulamwah, Carol Sonnie, Ataka Mtoto Wake na Ruth K WakutanIshwe
Baby mama wa mchekeshaji maarufu nchini Kenya, Mulamwah, Carol Sonnie, ameweka wazi ombi lake kwa baba wa mtoto wake akitaka watoto wao wawili, Calvin na Keilah, wakutane ili wajenge ukaribu na uhusiano wa kindugu. Kupitia kauli yake ya hivi karibuni, Carol amesema ni muhimu kwa watoto hao kukutana mapema ili waweze kufahamiana na kujenga mahusiano […]
Read More