Chino Kidd Aibua Tuhuma Nzito Dhidi ya Wakosoaji wa Wasanii
Msanii wa muziki wa Bongo Fleva, Chino Kidd, ameibua mjadala mpana baada ya kutoa tuhuma nzito dhidi ya baadhi ya wakosoaji wa muziki na watu wanaojitokeza hadharani kuzungumzia wasanii, akidai kuwa baadhi yao hulipwa fedha ili kuwakosoa na kuwazungumzia vibaya wasanii wa Bongo Fleva. Akizungumzia hali hiyo, Chino Kidd amesema kuwa si kila ukosoaji unaofanyika […]
Read More