Msanii Chino Afunguka Baada ya Mdogo Sajent Kujiondoa Wanaman Gang
Msanii wa Bongo Fleva Chino ameibua gumzo mitandaoni baada ya kuchapisha ujumbe wa hisia kali kufuatia tangazo la Mdogo Sajent kwamba hatofanya tena kazi na kundi la Wanaman Gang. Kupitia ukurasa wake wa Instagram, Chino ameonyesha wazi maumivu na hisia za usaliti akisema kuwa mara nyingine mtu anaweza kuwa na roho nzuri, lakini bado akafanyiwa […]
Read More