Dogo Sajent Afunguka Sababu za Kutaka Kuondoka ‘Wanaman Gang’
Mwanamuziki chipukizi kutoka Tanzania Dogo Sajent hatimaye amefunguka kuhusu sababu zilizomfanya kutaka kuondoka kwenye lebo ya muziki ya Chino Kid, inayojulikana kama Wanaman Gang. Akizungumza na wanahabari, Dogo Sajent alieleza kuwa changamoto kuu iliyomsukuma kufikiria kuondoka ilikuwa ni malipo madogo aliyokuwa akipokea kutoka kwa lebo hiyo, ambayo hayakuweza kukidhi mahitaji ya familia yake. Aidha, aliongeza […]
Read More