Dulla Makabila Akataa Kuwaomba Watanzania Msamaha kwa Kujihusisha na Siasa

Dulla Makabila Akataa Kuwaomba Watanzania Msamaha kwa Kujihusisha na Siasa

Msanii wa muziki kutoka Tanzania, Dulla Makabila, amezua mjadala mpana mitandaoni baada ya kukataa kuomba msamaha kwa mashabiki kufuatia wasanii kadhaa kulaumiwa kwa kujihusisha na siasa za uchaguzi zilizoibua utata na machafuko nchini humo. Kupitia ujumbe mrefu na wenye hisia kali, Dulla Makabila amesema kuwa binafsi hataki kuombewa msamaha kwa madai ya kuwakwaza watu kutokana […]

Read More
 Dulla Makabila Atoa  Milioni 120 Taslimu  Kusaidia Wasanii wa Singeli

Dulla Makabila Atoa  Milioni 120 Taslimu  Kusaidia Wasanii wa Singeli

Staa wa muziki wa Singeli, Dulla Makabila, ameibua gumzo mtandaoni baada ya kuonekana akiwa na kifurushi cha pesa kinachokadiriwa kufikia Tsh milioni 120, akidai kuwa kiasi hicho kimetengwa mahsusi kwa ajili ya kusaidia wasanii wenzake wa Singeli ili waendelee kusimama imara kwenye game. Kupitia ukurasa wake wa Instagram, Dulla Makabila amechapisha video akionesha fedha hizo […]

Read More
 Dulla Makabila Aonya Vijana Wanaodharau Wanawake Wavumilivu

Dulla Makabila Aonya Vijana Wanaodharau Wanawake Wavumilivu

Msanii wa Singeli, Dulla Makabila, ametoa ushauri mzito kwa vijana wenzake ambao bado hawajafanikwa kimaisha lakini wako kwenye mahusiano. Kupitia ujumbe wake Instagram, Dulla Makabila amesema kuwa iwapo kijana hana fedha kwa sasa na mwanamke wake anaonyesha uvumilivu na kuendelea kusimama naye, basi asiruhusu kumpoteza mwanamke huyo kwa sababu ya mapungufu madogo aliyo nayo. Msanii […]

Read More
 Bahati akoshwa na wimbo wa Dullah Makabila, “Pita Huku”

Bahati akoshwa na wimbo wa Dullah Makabila, “Pita Huku”

Mwimbaji nyota wa muziki toka Kenya, Bahati ameonyesha kukoshwa na ubunifu alioutumia staa wa Singeli nchini, msanii Dulla Makabila kwenye video ya wimbo wake mpya Pita Huku ulioibua mijadala juu ya mengi kufuatia yaliyo zungumziwa kwenye wimbo huo. Akiacha koment kwenye video hiyo katika mtandao wa YouTube, ujumbe wa Bahati unasomeka, “Huu ni Ubunifu Kaka Yangu. Hongera kwa Muziki mzuri”. […]

Read More