Eddy Kenzo afafanua dhamira ya albamu ya kumshukuru Rais Museveni

Eddy Kenzo afafanua dhamira ya albamu ya kumshukuru Rais Museveni

Rais wa shirikisho la wanamuziki nchini Uganda, Eddy Kenzo, amefunguka kuhusu ukosoaji unaoendelea baada ya baadhi ya watu kudai kuwa Kenzo na wasanii wenzake walinufaika kifedha kupitia ushiriki wao katika albamu ya muziki ya kusifu uongozi wa Rais Yoweri Museveni, Akizungumza Tiktok Live, Kenzo amesema hakuna msanii aliyelipwa kushiriki kwenye albamu hiyo, akieleza kuwa walifanya […]

Read More
 Eddy Kenzo Awazuia Wasanii wa NUP Kupata Msaada

Eddy Kenzo Awazuia Wasanii wa NUP Kupata Msaada

Rais wa Shirikisho la Wanamuziki nchini Uganda, Eddy Kenzo, amezua gumzo baada ya kutangaza kuwa wasanii wanaoegemea chama cha upinzani cha National Unity Platform (NUP) kinachoongozwa na Bobi Wine, hawatakuwa miongoni mwa wanaonufaika na msaada wa kifedha kutoka kwa shirikisho hilo. Kenzo amesema kuwa licha ya baadhi ya viongozi wa juu wa shirikisho, kama vile […]

Read More
 Eddy Kenzo: Lugha Sio Kizuizi kwa Mafanikio ya Muziki wa Kimataifa

Eddy Kenzo: Lugha Sio Kizuizi kwa Mafanikio ya Muziki wa Kimataifa

Msanii nyota kutoka Uganda, Eddy Kenzo, amesema kuwa lugha haipaswi kuwa kikwazo kwa wasanii wanaotamani kupata mafanikio ya kimataifa katika tasnia ya muziki. Akizungumza katika mahojiano yake hivi karibuni, Kenzo alisisitiza kuwa muziki ni lugha ya kipekee inayovuka mipaka ya maneno na kueleweka na watu wa mataifa tofauti duniani. Eddy Kenzo, ambaye alitambulika kimataifa kupitia […]

Read More
 Eddy Kenzo Akerwa na Malipo ya Diamond Platnumz Katika Mbio za Coffee Marathon

Eddy Kenzo Akerwa na Malipo ya Diamond Platnumz Katika Mbio za Coffee Marathon

Mwanamuziki nyota wa Uganda, Eddy Kenzo, ameeleza masikitiko makubwa dhidi ya waandaaji wa Coffee Marathon kwa kumpa kipaumbele msanii wa Tanzania, Diamond Platnumz, badala ya kuwatambua na kuwaunga mkono wasanii wa ndani ya nchi. Katika mahojiano aliyofanya na kituo cha televisheni cha ndani mapema wiki hii, Kenzo alieleza kusikitishwa kwake na taarifa kuwa Diamond alilipwa […]

Read More
 Nina Roz Afichua Sababu za Kujiondoa UNMF, Amsuta Vikali Eddy Kenzo kwa Kuwa Mbinafsi

Nina Roz Afichua Sababu za Kujiondoa UNMF, Amsuta Vikali Eddy Kenzo kwa Kuwa Mbinafsi

Mwanamuziki maarufu na mwanasiasa chipukizi, Nina Roz, ameibua mjadala mpya katika tasnia ya muziki nchini Uganda baada ya kufichua sababu zilizomfanya kujiondoa kwenye Shirikisho la Kitaifa la Wanamuziki nchini humo (UNMF) Katika mahojiano aliyofanya hivi karibuni na vyombo vya habari, Nina Roz alieleza kuwa walibuni shirikisho hilo pamoja na  Eddy Kenzo kwa madhumuni ya kuwatetea […]

Read More
 Bebe Cool Alinisaidia Kupata Mawakili katika kesi dhidi ya Luba Events – Eddy Kenzo

Bebe Cool Alinisaidia Kupata Mawakili katika kesi dhidi ya Luba Events – Eddy Kenzo

Msanii Eddy Kenzo amekiri kwamba Bebe Cool alimsaidia kuondokana na kesi iliyokuwa ikimuandama kutoka kwa Luba Events. Katika mahojiano yake hivi karibuni, Kenzo amesema Bebe Cool alimuunganisha na mawakili walioshughulikia kesi yake dhidi ya promota huyo. “Alinipigia simu na kuniuliza anawezaje kusaidia. Hakutaka kuniona nikiwa kwenye matatizo. Ni rafiki wa kweli,” alisema. Utakumbuka Luba Events […]

Read More
 Eddy Kenzo sio gwiji wa muziki – Bebe Cool

Eddy Kenzo sio gwiji wa muziki – Bebe Cool

Msanii Bebe Cool amedai kwamba Eddy Kenzo hana vigezo vya kuitwa lejendari kwenye tasnia ya muziki nchini Uganda. Kwenye mahojiano hivi karibuni amesema hitmaker huyo wa “Nsimbudde” ana mengi ya kufanya kwenye muziki kama kweli anataka kufikia hadhi ya kuitwa nguli. Bosi huyo wa Gagamel anasema Eddy Kenzo ni msanii mwenye bahati tu na anaweza […]

Read More