Mahakama yatupilia mbali kesi iliyowasilishwa na Luba Events dhidi ya msanii Eddy Kenzo

Mahakama yatupilia mbali kesi iliyowasilishwa na Luba Events dhidi ya msanii Eddy Kenzo

Mwimbaji kutoka nchini Uganda Eddy Kenzo ana kila sababu ya kutabasamu baada ya mahakama kutupilia mbali kesi iliyowasilishwa na  Luba Events kumzuia kutumbuiza jijini Kampala. Kupitia ukurasa wake wa Instagram Kenzo amewataarifu mashabiki zake kuwa ameruhusiwa tena kutumbuiza jijini Kampala kufuatia kesi ya Luba Events kukosa ushahidi wa kutosha mahakamani. Kenzo ambaye kwa sasa yupo […]

Read More
 Nitawaunganisha wasanii wa Uganda na waandaaji wa Grammy -Eddy Kenzo

Nitawaunganisha wasanii wa Uganda na waandaaji wa Grammy -Eddy Kenzo

Mwanamuziki Eddy Kenzo ameahidi kuwaunganisha wanamuziki wengine wa Uganda na waandaaji wa tuzo za Grammy pindi atakapohudhuria hafla ya utoaji wa tuzo hizo mwakani nchini marekani. Kwenye mahojiano yake hivi karibuni, Kenzo amebainisha kuwa kuteuliwa kwenye tuzo za Grammy 2023 itawafungulia milango wasanii wengi nchini humo kuupeleka muziki wao kimataifa na kushiriki tuzo kubwa duniani . “Nataka […]

Read More
 Eddy Kenzo sio mwanamuziki bora Uganda – Ragga Dee

Eddy Kenzo sio mwanamuziki bora Uganda – Ragga Dee

Msanii mkongwe kwenye muziki nchini Uganda Ragga Dee amemkataa Bosi wa Big Talent, Eddy Kenzo. Hii  ni  baada ya watu kuhoji kuwa Eddy Kenzo ndiye mwanamuziki bora nchini humo kufuatia kuteuliwa kwake kwenye tuzo za Grammy mwaka 2023. Kwenye mahojiano yake hivi karibuni Ragga Dee amesema kuna wasanii wengi nchini Uganda ambao wana vipaji kumzidi […]

Read More
 Eddy Kenzo amkingia kifua Museveni baada ya wafuasi wa NUP kumtishia maisha

Eddy Kenzo amkingia kifua Museveni baada ya wafuasi wa NUP kumtishia maisha

Msanii Eddy Kenzo amehapa kwamba hatokuja kumvunjia heshima Rais wa Uganda Yoweri Museveni kwa lengo la kuwafurahisha wapinzani wake. Kwenye mahojiano yake hivi karibuni Kenzo ambaye juzi kati aliteuliwa kuwania tuzo ya Grammy 2023 kupitia kipengele cha Best Global Perfomance, amekiri kuwa  Museveni ni mwokozi wake kwani alikuwa mtu wa msaada kwake kipindi cha korona […]

Read More
 Eddy Kenzo ashtakiwa na Promota kwa kukiuka mkataba wa kufanya tamasha la muziki

Eddy Kenzo ashtakiwa na Promota kwa kukiuka mkataba wa kufanya tamasha la muziki

Mwanamuziki Eddy Kenzo ameburuzwa mahakamani kwa kufanya tamasha la muziki wikiendi iliyopita bila kumhusisha promota muziki nchini humo Luba Events. Kwa mujibu wa nyaraka za mahakama, Luba amewasilisha kesi mahakamani kumzuia msanii huyo haziweze kufanya matamasha ya muziki nchi Uganda hadi pale uamuzi wa kesi yake itakapotolewa. Promota huyo amedai kuwa alisaini mkataba wa kufanya […]

Read More
 Eddy Kenzo aandika historia Afrika Mashariki, Atajwa kuwania tuzo za Grammy.

Eddy Kenzo aandika historia Afrika Mashariki, Atajwa kuwania tuzo za Grammy.

Mwanamuziki wa nchini Uganda Eddy Kenzo ametajwa kuwania Tuzo za Grammy mwaka 2023 ambapo ametajwa katika kipengele cha Best Global Music Performance na wimbo wake ‘Gimme Love’ aliomshirikisha Matt B. Eddy Kenzo anakuwa msanii wa kwanza kutoka ukanda wa Afrika Mashariki kutajwa kuwania Tuzo hizo kubwa na maarufu duniani. Aliwahi pia kuwa msanii pekee aliyeshinda […]

Read More
 Eddy Kenzo akanusha kuwa muumini wa dhehebu la Illuminati

Eddy Kenzo akanusha kuwa muumini wa dhehebu la Illuminati

Msanii nyota kutoka nchini Uganda Eddy Kenzo amenyosha maelezo kuhusu madai ya kutumia ishara ya illuminati kwenye video ya wimbo wake “Semyekozo”.. Katika mahojiano yake hivi karibuni Kenzo amesema alama alizozitumia kwenye video ya wimbo huo haihusiani kabisa na nguvu za kishetani kama baadhi ya walimwemgu walivyohoji mtandaoni kwani ni ishara ya kawaida ambayo watu […]

Read More
 Eddy Kenzo amtabiria mema Gravity Omutujju licha ya watu kumshambulia mtandaoni

Eddy Kenzo amtabiria mema Gravity Omutujju licha ya watu kumshambulia mtandaoni

Mwanamuziki Eddy Kenzo amemtabiria mema rapa Gravitty Omutujju kwa kusema kuwa atapata mafanikio makubwa kwenye muziki wake licha ya watu kumpiga vita kila mara kwenye shughuli zake. Kwemye mahojiano yakw hivi karibuni Kenzo amesema omutujju hatoshushwa kisanaa na baadhi ya watu wanaojaribu kumshambulia mtandaoni kwani ni moja kati ya watu ambao wamepitia maisha ya taabu.. […]

Read More