Ringtone Apoko amchana Eric Omondi kwa kutumia mbwa wake kutafuta umaarufu
Msanii asiyeishiwa na matukio kila leo Ringtone Apoko amemtolea uvivu Eric Omondi baada ya mchekeshaji huyo kutamba na mbwa wake kwenye uzinduzi wa onesho la Laugh & Jazz mwishoni mwa juma lillopita. Kupitia ukurasa wake wa Instagram Ringtone amedai kuwa Omondi alimuomba mbwa hao kwa ajili ya kutengeneza mazingira ya kuzungumziwa kwenye vyombo vya habari […]
Read More