Eric Omondi: Polisi Wapuuze Amri ya Risasi
Mchekeshaji maarufu nchini Kenya, Eric Omondi, ameibua mjadala mkali baada ya kutoa wito kwa maafisa wa polisi kupuuza kauli ya Rais William Ruto kuhusu kutumia risasi za miguu dhidi ya watu wanaoharibu biashara za wengine. Akizungumza na wanahabari jijini Nairobi, Eric Omondi alisema kuwa polisi ni sehemu ya wananchi na hivyo hawapaswi kuwaadhibu Wakenya wenzao […]
Read More