Mke wa Guardian Awajibu Wakosoaji Waliodai Ndoa Yao Haitadumu

Mke wa Guardian Awajibu Wakosoaji Waliodai Ndoa Yao Haitadumu

Mke wa Guardian Angel, Esther Musila amewajibu vikali wakosoaji waliodai ndoa yao haitafika mbali kuelekea maadhimisho ya miaka minne ya ndoa na miaka sita tangu waanze kuwa pamoja. Akizungumza kupitia mitandao ya kijamii, Esther amesema kuwa yeye na Guardian Angel bado wapo imara na hawana mpango wa kuachana hivi karibuni, licha ya shinikizo kutoka kwa […]

Read More
 Mke wa Guardian Angel Afunguka Kuhusu Matusi Mtandaoni

Mke wa Guardian Angel Afunguka Kuhusu Matusi Mtandaoni

Mke wa mwimbaji wa Injili Guardian Angel, anayefahamika kama Esther Musila, ameapa kupambana vikali na wakosoaji wake mtandaoni hadi mwisho wa dunia. Kupitia ukurasa wake wa TikTok, Musila amesisitiza kuwa hatakubali kunyamaza huku akivunjiwa heshima mtandaoni bila kujibu. Mwanamama huyo ameonyesha hasira yake kwa watu wanaojiona wana uwezo wa kudhibiti maisha ya watu wengine, akisema […]

Read More