Facebook Yatangaza Kufunga Messenger Kuanzia Desemba 15
Kampuni ya Meta, inayomiliki Facebook, imetangaza rasmi kuwa itafunga app ya Messenger kuanzia tarehe 15 Desemba mwaka huu. Hatua hii inalenga kubadilisha jinsi watumiaji wanavyowasiliana ndani ya mtandao huo wa kijamii, hasa kwa wale wanaotumia vifaa vya kompyuta kama vile Macs na Windows. Kwa mujibu wa taarifa rasmi ya kampuni hiyo, mabadiliko haya yataanza kwa […]
Read More