FKF Yasitisha Mechi Zote za Wikiendi Kuheshimu Kifo cha Raila Odinga
Shirikisho la Soka Nchini Kenya (FKF) limesimamisha rasmi mechi zote zilizopangwa kuchezwa mwishoni mwa juma hili, kama ishara ya heshima kwa aliyekuwa Waziri Mkuu wa nchi hiyo, Raila Odinga, aliyefariki dunia Jumatano asubuhi alipokuwa akipokea matibabu nchini India. Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa kwa vyombo vya habari, FKF imesema kuwa hatua hiyo inalenga kuungana na […]
Read More