Mwanahabari Fred Arocho amtaka Bahati atimize ahadi kwa Harambee Stars

Mwanahabari Fred Arocho amtaka Bahati atimize ahadi kwa Harambee Stars

Mwanahabari na mchambuzi wa michezo Fred Arocho amemtaka msanii Bahati kuhakikisha anatimiza ahadi alizotoa kwa wachezaji wa timu ya taifa, Harambee Stars. Kwenye mahojiano na SPM Buzz, Arocho amesema ni lazima Bahati atimize wajibu huo badala ya kuwatumia wachezaji hao kama chombo cha kujitafutia umaarufu. Katika ujumbe wake, Arocho alisisitiza kuwa pesa alizoahidi lazima zitolewe […]

Read More