BB Bread FC Waiondoa Gor Mahia Kwenye Kombe la MozzartBet
Timu ya daraja la tano ya BB Bread FC imeendelea kushangaza wengi kwenye michuano ya FKF MozzartBet Cup baada ya kuwaondoa vinara wa Kenyan Premier League, Gor Mahia, kufuatia ushindi wa mabao 1-0 katika mechi ya hatua ya 32 bora iliyochezwa Jumapili katika uwanja wa Nyayo National Stadium. BB Bread FC, timu ya makao yake […]
Read More