HARMONIZE AWATOLEA UVIVU WAANDAAJI WA TAMASHA LA AFRIKA MOJA KISA PICHA YA ERIC OMONDI
Mkali wa muziki wa Bongofleva Harmonize ameonesha wazi kutofurahishwa na poster ya tamasha la Afrika Moja linalotarajiwa kufanyika nchini, Aprili 30 mwaka huu. Kupitia insta story yake kwenye mtandao wa Instagram Boss huyo wa Konde Gang ameeleza kwamba kitendo walichokifanya waandaaji wa tamasha hilo sio cha kiungwana kufuatia picha yake kuonekana kubwa huku picha ya […]
Read More