Msanii Justina Syokau Alalamika Kuhusu Baba wa Mtoto Wake Kukimbia Majukumu
Msanii wa Injili kutoka Kenya, Justina Syokau amedai kuwa baba wa mtoto wake, ambaye ni ndugu wa damu wa kiongozi wa Wiper Kalonzo Musyoka, ameshindwa kabisa kutimiza wajibu wake wa kifamilia. Akipiga stori na Podcast ya Mwakideu Live, Justina amesema mwanaume huyo hajawahi kujitokeza kusaidia malezi ya mtoto wao, akisema hata mahitaji ya msingi kama […]
Read More