Muonekano Mpya wa Khaligraph Jones Bila Nywele Wazua Gumzo Mitandaoni

Muonekano Mpya wa Khaligraph Jones Bila Nywele Wazua Gumzo Mitandaoni

Rapa maarufu wa Kenya, Khaligraph Jones, amewashangaza mashabiki wake baada ya kufichua muonekano mpya bila nywele (bald look), hatua ambayo imezua gumzo mitandaoni. Kupitia mitandao ya kijamii, Khaligraph anayejulikana pia kama The OG, alichapisha picha na video zikimuonesha akiwa na kichwa kipara, mbali na mtindo wake wa kawaida wa nywele fupi au zilizonyolewa kwa ustadi. […]

Read More
 Khaligraph Jones kuzuru Australia mwishoni mwa mwezi huu

Khaligraph Jones kuzuru Australia mwishoni mwa mwezi huu

Siku chache baada ya kufanya shoo yake nchini Sierra Leone, Rapa Khaligraph Jones ametangaza show nyingine ya kimataifa nchini Australia mwishoni mwa mwezi huu. Kupitia mitandao yake ya kijamii amesema anatarajia kufanya show zake kwenye miji ya Perth na Sydney, Januari 27 na 29 mtawalia. “Whats good Australia, OG is coming through, January Friday 27th […]

Read More
 KHALIGRAPH JONES AANDIKA BARUA YA WAZI KWA RUTO KUPITIA WIMBO

KHALIGRAPH JONES AANDIKA BARUA YA WAZI KWA RUTO KUPITIA WIMBO

Rapper Brian Omollo maarufu kama Khaligraph Jones, amezua gumzo mtandaoni mara baada ya kumuandikia barua ya wazi rais mteule william ruto kupitia singo yake mpya iitwayo “Usiache Akemewe Free style” Kupitia wimbo huo rapa huyo ametoa wito kwa Ruto kuweka kipau mbele suala la kuwaleta wakenya pamoja pindi atakapoapishwa rasmi kuitumikia Kenya kwa kuwa kuna […]

Read More
 KHALIGRAPH JONES ATOA CHANGAMOTO KWA WASANII WAKENYA KUKUZA BRAND ZAO

KHALIGRAPH JONES ATOA CHANGAMOTO KWA WASANII WAKENYA KUKUZA BRAND ZAO

Rapper Khaligraph Jones amesema muziki wa Kenya ulipofika ni wakati wasanii kujitambua na kwendana na nyakati zilizopo kuanzia kazi zao hadi muonekano kwa watu. Akizungumza na Presenter Ali hitmaker huyo wa “Mbona” amesema muonekana wa msanii mbele ya mashabiki wake una nafasi katika kuuza muziki wake anaofanya. Khaligraph Jones amesema kuwa msanii si kuandika nyimbo […]

Read More
 MISS CASHY KUMBURUZA MAHAKAMINI KHALIGRAPH JONES KWA KUKWEPA KUTOA MATUNZO KWA MTOTO WAKE

MISS CASHY KUMBURUZA MAHAKAMINI KHALIGRAPH JONES KWA KUKWEPA KUTOA MATUNZO KWA MTOTO WAKE

Mama mtoto wa Khaligraph Jones, Cashy Karimi amefichua kuwa ana mpango kumshtaki rapa huyo baada ya kukataa kutoa matunzo kwa mtoto wao. Kupitia ukurasa wake wa Instagram Cashy amechapisha picha yake akiwa katika Mahakama ya Milimani na kuandika caption inayosomeka, “Ukiitwa unaitika uilvyo, ukiwa mbali njoo na champali. Ujasiri hutoka kwa Mungu, mwamuzi halisi na […]

Read More