Mama Dangote Akingia Kifua Diamond Kuhusu Msaada kwa Mkubwa Fella
Mama mzazi wa msanii Diamond Platnumz, Mama Dangote, amejitokeza hadharani kumkingia kifua mwanaye kufuatia tuhuma zilizosambaa mitandaoni zikidai kuwa Diamond amemtelekeza aliyekuwa meneja wake, Mkubwa Fella, ambaye kwa sasa anaendelea na matibabu. Kupitia ukurasa wake wa Instagram, Mama Dangote ameeleza kwa kina mchango uliotolewa na Diamond pamoja na familia tangu mwanzo wa changamoto hiyo. Amefafanua […]
Read More