MSHAMBULIAJI RAIA WA GABON PIERRE-EMERICK AUBAMEYANG ATUA BARCELONA

Klabu ya Barcelona imekamilisha usajili wa Mshambuliaji raia wa Gabon Pierre-Emerick Aubameyang kwa mkataba wa miaka mitatu na nusu akitokea Arsenal kama mchezaji huru. Kabla yakuondoka Gunners Aubameyang hakuwa akipata nafasi ya kucheza mbele ya kikosi cha Arteta kufuatia kutajwa kua mtovu wa nidhamu Aubameyang amewaaga rasmi mashabiki na wapenzi wa klabu ya Arsenal, kufuatia […]

Read More
 AUBAMEYANG AVULIWA KITAMBAA CHA UNAHODHA  ARSENAL

AUBAMEYANG AVULIWA KITAMBAA CHA UNAHODHA ARSENAL

Mshambuliaji Pierre-Emerick Aubameyang amevuliwa kitambaa cha Unahodha katika Klabu ya Arsenal. Hii imekuja kufuatia vitendo vya utovu wa nidhamu baada ya kuchelewa kuwasili toka Ufaransa safari ambayo haikuwa rasmi. Kocha Mikel Arteta ametangaza rasmi hilo leo kwenye mkutano na Waandishi wa habari kuelekea mchezo wa West Ham Aubameyang ambaye ni nyota wa timu ya Taifa […]

Read More