Sauti Sol mbioni kuachia Album mpya
Kundi la Sauti Sol limetangaza ujio wa Album hiyo ambayo kwa mujibu wao itaingiaa sokoni mwaka huu. Kundi hilo ambalo lilichukua mapumziko kwenye muziki kwa muda wa miaka 2 wamethibitisha taarifa hiyo kupitia ukurasa wao wa. “New year, New Album”, Waliandika Hata hivyo hawajaweka wazi ni lini hasa Album hiyo itaingia sokoni wala wasanii ambao […]
Read More