EZEKIEL MUTU AMKINGIA KIFUA ODINGA KWA KUTUMIA WIMBO WA SAUTI SOL KWENYE SHUGHULI ZAKE ZA KISIASA

EZEKIEL MUTU AMKINGIA KIFUA ODINGA KWA KUTUMIA WIMBO WA SAUTI SOL KWENYE SHUGHULI ZAKE ZA KISIASA

Mwenyekiti wa chama cha hakimiliki ya muziki nchini Ezekiel Mutua amefunguka kuhusu utata unaozingira wimbo wa Extravaganza wa kundi la Sauti Sol, uliotumiwa na mrengo wa azimio la umoja kwenye hafla ya kumtambulisha mgombea mwenza wa Raila Odinga. Kupitia mitandao yake ya kijamii Mutua amesema azimio la umoja walifuata taritibu zote za kupata leseni ya […]

Read More
 CHIMANO WA SAUTI SOL AACHIA RASMI EP YAKE MPYA

CHIMANO WA SAUTI SOL AACHIA RASMI EP YAKE MPYA

Mwanachama wa kundi la Sauti sol, Austin Chimano ameachia rasmi Album yake mpya inayokwenda kwa jina la Heavy is The Crown.. EP hiyo ina jumla ya mikwaju 6 ya moto  ambazo amezifanya bila kumshirisha msanii yeyote. Heavy is The Crown EP ina nyimbo kama Stereo, Mad Love, Loser, Hallelujah, Beautiful Day, Freedom na  inapatikana exclusive […]

Read More
 SAUTI SOL WAPINGA UTEUZI WA DKT. EZEKIEL MUTUA KUWA MWENYEKITI WA MAMLAKA INAYOSIMAMIA HAKIMILIKI NCHINI KENYA

SAUTI SOL WAPINGA UTEUZI WA DKT. EZEKIEL MUTUA KUWA MWENYEKITI WA MAMLAKA INAYOSIMAMIA HAKIMILIKI NCHINI KENYA

Wasanii wa Sauti Sol, Bien Baraza na Chimano kwa kauli moja wamepinga uteuzi wa Dakta Ezekiel Mutua kama mwenyekiti wa Mamlaka inayosimamia  Hakimiliki nchini Kenya. Kupitia jumbe walizochapisha kwenye mtandao wa Instagram wasanii hao wameonekana kutofurahisha na kitendo cha Mutua kupewa wadhfa huo huku wakisema kuwa hawana imani na uongozi wake ikizingatiwa kuwa alishinda kuiboresha […]

Read More
 BIEN WA SAUTI SOL ATANGAZA KUWEKEZA ZAIDI KWENYE ISHU YA KUFANYA KOLABO NA WASANII WENGINE KAMA MSANII UHURU

BIEN WA SAUTI SOL ATANGAZA KUWEKEZA ZAIDI KWENYE ISHU YA KUFANYA KOLABO NA WASANII WENGINE KAMA MSANII UHURU

Msanii wa Sauti Sol, Bien amefunguka na kudai kwamba mwaka huu atajikita zaidi kwenye suala la kufanya kolabo na kuwashirikisha wasanii wengine kwenye kazi zake atakazo achia. Katika mahojiano na mpasho Bien amesema kuwa amepokea maombi nyingi za wasanii wanaotaka kufanya naye kazi huku akidokeza ujio wa album mpya ya kundi la Sauti Sol ambayo itaingia sokoni […]

Read More
 SAUTI SOL WAZINDUA JUKWAA LA SOL KIDS LITAKALOWAPA WATOTO ELIMU KUPITIA VITABU VYA HADITHI

SAUTI SOL WAZINDUA JUKWAA LA SOL KIDS LITAKALOWAPA WATOTO ELIMU KUPITIA VITABU VYA HADITHI

Kundi la Sauti Sol limezindua rasmi jukwaa la watoto liitwalo Sol Kids Kenya, ambalo linalenga kuja na vitabu vya watoto vitakavyowaelimisha kuhusu haki zao, kujilinda na ujuzi wa kujieleza. Kupitia ukurasa wao wa Instagram  Sauti Sol wamesema jukwaa hilo la mtandaoni litatoa mchango mkubwa katika kuboresha elimu miongoni mwa watoto kwa kutoa vitabu vya vya hadithi na […]

Read More
 SAUTI SOL WAINGIA UBIA WA KUFANYA KAZI NA SHAHARA, JUKWAA LINALOWALENGA WATENGENEZA MAUDHUI MTANDAONI

SAUTI SOL WAINGIA UBIA WA KUFANYA KAZI NA SHAHARA, JUKWAA LINALOWALENGA WATENGENEZA MAUDHUI MTANDAONI

Kundi la Sauti sol limeingia ubia wa kufanya kazi na jukwaa la Shahara lilowapa fursa watengeneza maudhui kutangaza kazi zao za ubunifu kwa njia ya mtandao. Sauti sol wamethibitisha taarifa hiyo njema kwa mashabiki wao kupitia ukurasa wao wa Instagram kwa kushare picha wakiwa wanatia saini mkataba wa maelewano na Shahara huku wakieleza furaha yao […]

Read More