Ogier Aandika Historia Ueno Rally del Paraguay

Ogier Aandika Historia Ueno Rally del Paraguay

Bingwa mara nane wa dunia katika mbio za magari za WRC, Sebastien Ogier, aliibuka mshindi wa mkondo wa Ueno Rally del Paraguay uliomalizika Jumapili usiku, na kuiweka kampuni ya Toyota kwenye ramani kwa mara nyingine tena. Ushindi huo ulimfanya Ogier kuifikisha Toyota jumla ya ushindi 102 kwenye historia ya mashindano ya WRC rekodi inayolingana na […]

Read More