Mchekeshaji Terence Creative Aomba Radhi Jamii ya Kisii kwa Matamshi ya Chuki 

Mchekeshaji Terence Creative Aomba Radhi Jamii ya Kisii kwa Matamshi ya Chuki 

Mchekeshaji kutoka Kenya Terence Creative amelazimika kuomba radhi jamii ya Kisii baada ya kutoa matamshi yaliyotafsiriwa kuwa ya chuki na kikabila kupitia ukurasa wake wa Facebook. Terence alizua mjadala mkali mtandaoni baada ya kuchapisha ujumbe unaodaiwa kumlenga aliyekuwa Waziri wa Usalama wa Ndani Fred Matiang’i, akionekana kufanya utani kuhusu uwezekano wa kiongozi huyo kushinda urais […]

Read More
 Terence Creative Afunguka Kuhusu Mapambano Dhidi ya Uraibu

Terence Creative Afunguka Kuhusu Mapambano Dhidi ya Uraibu

Mchekeshaji wa Kenya, Terence Creative, ameweka wazi safari yake ya kupambana na uraibu wa vileo, akifichua jinsi alivyoingia katika wakati mgumu maishani mwake kabla ya kurejea katika mstari sahihi. Akiangazia kipindi hicho kigumu, Terence amesema changamoto za uraibu wa pombe na uvutaji sigara zilimpelekea kupoteza mwelekeo na matumaini, lakini hakubaki peke yake. Amemshukuru mkewe Milly […]

Read More
 Terence Creative Atoa Ushauri kwa Wasanii Kuhusu Maisha ya Baada ya Muziki

Terence Creative Atoa Ushauri kwa Wasanii Kuhusu Maisha ya Baada ya Muziki

Mchekeshaji maarufu nchini Kenya, Terence Creative, amewashauri wasanii wenzake kujiandaa kwa maisha ya baadaye akionya kwamba taaluma ya sanaa, hususan muziki, haiwezi kudumu milele. Kupitia ujumbe wake, Terence amesema ni muhimu kwa wasanii kufikiria zaidi ya umaarufu wa sasa na kutengeneza misingi imara ya maisha. Amewashauri kujiwekea akiba, kuwekeza kwenye mali kama ardhi na nyumba, […]

Read More
 Simulizi ya Maumivu: Terence Afunguka Kuhusu Mateso Baada ya Mahojiano

Simulizi ya Maumivu: Terence Afunguka Kuhusu Mateso Baada ya Mahojiano

Mchekeshaji na mtayarishaji maarufu wa maudhui, Terence Creative, amesimulia kwa uchungu jinsi alivyojikuta akiingia kwenye kipindi kigumu cha matatizo ya kiafya na ya kiuchumi, ambayo anahusisha moja kwa moja na mtu aliyempa nafasi ya kumhoji kama sehemu ya maudhui ya mtandaoni. Kulingana na Terence, muda mfupi baada ya mahojiano hayo, mambo yalianza kwenda kombo. Alieleza […]

Read More