Tusker FC yashinda 2-0 dhidi ya Bidco United kombe la Mozzart
Mabingwa wa zamani wa Ligi Kuu ya Kenya, Tusker FC, wameendeleza wimbi lao la ushindi baada ya kuibwaga Bidco United mabao 2-0 katika mchuano mkali wa awamu ya 32 ya Kombe la Mozzart Bet uliopigwa leo katika uwanja wa Police Sacco. Tusker FC ilianza mchezo huo kwa kasi, ikitawala safu ya kiungo na kutengeneza nafasi nyingi za hatari. Jitihada hizo […]
Read More