WILLY PAUL AWEKEZA KWENYE SEKTA YA MATATU

WILLY PAUL AWEKEZA KWENYE SEKTA YA MATATU

Nyota wa muziki nchini Willy Paul ameamua kuwekeza kwenye biashara ya uchukuzi maarufu matatu kama njia ya kutanua kitega uchumi chake. Akizungumza na wandishi wa habari, Willy Paul amesema kuwekeza kwenye sekta ya matatu ni moja kati ya ndoto ambazo amekuwa akitamani kufanikisha katika maisha. Hitmaker huyo wa toto ambaye kwa sasa amejikita zaidi kwenye […]

Read More
 WILLY PAUL AWAJIA JUU WALIOTAKA KIMSHUSHA KIMUZIKI

WILLY PAUL AWAJIA JUU WALIOTAKA KIMSHUSHA KIMUZIKI

Staa wa muziki nchini Willy Paul amerusha jiwe gizani kwa madalali waliotaka kumshusha kimuziki miaka ya hapo nyuma. Kupitia instagram yake Pozze amejitapa kuwa huu ndio muda wake wa kuwaaminisha wote waliomdharau kipindi hicho kuwa ana uwezo wa kuupeleka muziki wake kimataifa bila usaidizi wa mtu yeyote. Haikuishia hapo Hitmaker huyo wa “Toto” ameenda mbali […]

Read More
 WILLY PAUL AWATAKA WASANII KUCHUKULIA HATUA KAMPUNI ZINAZOSUSIA KULIPA PESA ZAO

WILLY PAUL AWATAKA WASANII KUCHUKULIA HATUA KAMPUNI ZINAZOSUSIA KULIPA PESA ZAO

Msanii nyota nchini Willy Paul ametoa changamoto kwa wasanii wenzake kuzichukulia hatua kali za kisheria kampuni au mapromota wanaokataa au kuchelesha malipo yao wanapotumbuiza kwenye shoo zao. Kupitia instastory yake kwenye mtandao wa Instagram Willy Paul amesema wasanii waache suala la kuwahurumia wateja wao wanapochelesha pesa zao kwani ndiyo njia pekee watapewa heshima kwenye shughuli […]

Read More
 WALIMWENGU MTANDAONI WAMSHAMBULIA WILLY PAUL KISA KIKI

WALIMWENGU MTANDAONI WAMSHAMBULIA WILLY PAUL KISA KIKI

Walimwengu mtandaoni wamewatolea uvivu staa wa muziki nchini Willy Paul baada msanii huyo kudai kuna binti wa mwigizaji wa kipindi cha Vioja Mahakama amemuibia simu aina iPhone nyumbani kwake. Kupitia comments walizoziachia katika post ya Willy Paul kwenye mtandao wa kijamii wa Instagram wamemtaka msanii huyo aache suala la kuendekeza kiki kwenye muziki wake na […]

Read More
 WILLY PAUL AMTAKA BAHATI AACHE SIASA

WILLY PAUL AMTAKA BAHATI AACHE SIASA

Msanii nyota nchini Willy Paul inaonekana hajafurahishwa namna ambavyo msanii mwenzake Bahati anavyohangaishwa kwenye azma yake ya kuwa mbunge Mathare. Hii ni baada ya Bahati kurushiana maneno makali na Katibu Mkuu wa chama cha ODM Edwin Sifuna kwenye mtandao wa Twitter baada ya muungano wa Azimio la Umoja kumtangaza Anthony Olouch kuwa mgombea wao kwenye […]

Read More
 WILLY PAUL AISUTA VIKALI SAFARICOM KISA MAPATO YA SKIZA TUNE

WILLY PAUL AISUTA VIKALI SAFARICOM KISA MAPATO YA SKIZA TUNE

Staa wa muziki nchini Willy Paul ameonesha kusikitishwa na kampuni ya safaricom kutoongeza mapato ya wasanii kupitia Skiza tune. Kupitia instastory yake kwenye mtandao wa instagram willy paul ameisuta vikali kampuni ya safaricom akitaka maelezo kamili kuhusu kupunguzwa kwa mapato ya wasanii kupitia skiza tune. Himaker huyo wa ngoma ya toto amesema alitarajia mapato ya […]

Read More
 WILLY PAUL APEWA SOMO NA MASHABIKI KISA KIKI

WILLY PAUL APEWA SOMO NA MASHABIKI KISA KIKI

Baadhi ya wadau wa muziki nchini wamewatolea uvivu msanii Willy Paul baada ya mkali huyo kuonekana kutengeneza matukio kwa ajili ya kutangaza kazi yake mpya ambayo itaingia sokoni hivi karibuni. Kupitia mitandao yao ya kijamii wamwataka Willy Paul waache suala la kuendekeza kiki kwenye muziki wao na badala yake atoe muziki mzuri ambao utajiuza wenyewe. […]

Read More
 WILLY PAUL ATAMANI KUINGIA KWENYE NDOA

WILLY PAUL ATAMANI KUINGIA KWENYE NDOA

Staa wa muziki nchini Willy Paul ameweka wazi matamanio yake ya kuingia kwenye ndoa. Kupitia instagram yake Willy Paul ameposti picha akiwa amevalia vizuri na kusindikiza na caption inayoelezea hisia yake ya kutamani kuoa hivi karibuni na mwanamke wa ndoto yake. “Kijana ya salome anapanga kuoa.. shida yake ni, anependa kuvaa vizuri sana… atawezana na […]

Read More