YouTube Yazindua Kipengele cha “Ask” Kinachotumia Akili Bandia ya Gemini
YouTube imezindua kipengele kipya kinachoitwa “Ask”, ambacho sasa kinapatikana katika nchi zote duniani. Awali, kipengele hiki kilikuwa kinapatikana katika baadhi ya nchi pekee, lakini kwa sasa watumiaji wote wanaweza kukitumia. Kipengele cha Ask kimewekwa kwenye vitufe vya video, na kinawaruhusu watazamaji kuuliza maswali kuhusu video wanayoitazama. Kupitia sehemu hii, mtumiaji anaweza kupata muhtasari wa video, […]
Read More