Akothee Asema Hawezi Kuolewa na Mwanaume wa SDA
Msanii wa muziki kutoka Kenya, Akothee, amezua mjadala mitandaoni baada ya kutoa matamshi yenye utata kuhusu wanaume wa Kanisa la Waadventista (SDA). Kupitia video aliyoiposti kwenye mitandao yake kijamii, amesema kuwa hawezi kamwe kuolewa na mwanaume kutoka kanisa hilo kwa kuwa wanaume wengi wa SDA ni wakali na wenye masharti mengi kuhusu maisha ya kila […]
Read More