Familia ya Msanii wa Gengetone Marehemu Shalkido Yatangaza Tarehe ya Mazishi

Familia ya Msanii wa Gengetone Marehemu Shalkido Yatangaza Tarehe ya Mazishi

Familia ya msanii wa Gengetone marehemu Shalkido, imethibitisha kuwa mazishi yake yatafanyika siku ya Alhamisi, Oktoba 16, nyumbani kwao eneo la Kimbo Matangi. Kupitia taarifa iliyotolewa na Oga Obinna kwa niaba ya familia, mashabiki na marafiki wameombwa kusaidia maandalizi ya mazishi kupitia nambari ya paybill 8030444 (Akaunti: Shalkido Gacucu). Shalkido alifariki juzi kati katika ajali […]

Read More
 Spotify Yashirikiana na ChatGPT Kuboresha Uzoefu wa Kusikiliza Muziki

Spotify Yashirikiana na ChatGPT Kuboresha Uzoefu wa Kusikiliza Muziki

Kampuni ya huduma ya muziki mtandaoni, Spotify, imeingia kwenye ushirikiano na ChatGPT kwa ajili ya kuboresha namna watumiaji wanavyogundua na kusikiliza muziki. Ushirikiano huu umezaa kipengele kipya kinachowezesha watumiaji kuwasiliana moja kwa moja na ChatGPT ili kutengeneza orodha za nyimbo, kupata mapendekezo, na kusikiliza muziki kupitia Spotify. Kupitia teknolojia hii, watumiaji wa Spotify wanaweza kuomba […]

Read More
 Vera Sidika Azua Mjadala Mpya Baada ya Upasuaji wa Mdomo

Vera Sidika Azua Mjadala Mpya Baada ya Upasuaji wa Mdomo

Socialite wa Kenya, Vera Sidika, amethibitisha kwamba amefanyiwa upasuaji wa mdomo (lip procedure) wiki chache tu baada ya kupitia upasuaji wa kuinua maziwa (breast lift). Kupitia ukurasa wake wa Instagram, Vera amesema kuwa upasuaji huo ni sehemu ya safari yake ya kujiboresha na kurejesha muonekano anaoupenda. Ameongeza kuwa yuko kwenye hatua ya kupona, na matokeo […]

Read More
 Eugene Baron Amua Kumpa Breeder LW Maua Yake Akiwa Hai

Eugene Baron Amua Kumpa Breeder LW Maua Yake Akiwa Hai

Meneja wa msanii Breeder LW, Eugene Baron, ameamua kumpa rapa huyo maua yake akiwa bado hai kwa kumtaja kama Mfalme wa New Age Rap nchini Kenya. Kupitia ujumbe aliouchapisha mtandaoni, Baron amesema hakuna msanii anayeweza kulinganisha ujuzi na uwezo wa Breeder LW katika muziki wa kizazi kipya. Amesema kuwa Breeder LW amefikisha muziki wa rap […]

Read More
 Oga Obinna Aumizwa na Tuhuma za Kifo cha Shalkido

Oga Obinna Aumizwa na Tuhuma za Kifo cha Shalkido

Mtangazaji na mchekeshaji maarufu wa Kenya, Oga Obinna, amejikuta kwenye wakati mgumu baada ya baadhi ya wafuasi mitandaoni kumhusisha kwa maneno na kifo cha msanii wa kundi la Sailors, Shalkido. Tuhuma hizo zimeibuka baada ya taarifa za kifo cha Shalkido kusambaa mitandaoni, huku baadhi ya watumiaji wa mitandao wakimtaja Obinna kama mtu aliyekuwa akizungumza mara […]

Read More
 Bahati Amshambulia Pastor T Baada ya Kukosoa Wimbo Wake

Bahati Amshambulia Pastor T Baada ya Kukosoa Wimbo Wake

Msanii mwenye utata nchini Kenya, Bahati, ameonekana kukerwa na kauli ya Pastor T aliyesema kwamba muziki wake unaweza kuwa na athari mbaya kwa watoto wake. Akipiga stori na Radio Maisha, Bahati amesema kuwa ni unafiki kwa mhubiri huyo kumuhukumu ilhali yeye mwenyewe aliwahi kuwa na maisha yasiyo ya kiroho kabla hajageukia ukasisi. Bahati amesema kuwa […]

Read More
 Pastor T Amkosoa Bahati Baada ya Wimbo Wake “Seti” Kuzua Mjadala Mkali

Pastor T Amkosoa Bahati Baada ya Wimbo Wake “Seti” Kuzua Mjadala Mkali

Mhubiri maarufu Pastor T Mwangi amemtolea uvivu msanii Bahati kufuatia wimbo wake “Seti”, ambao umekosolewa na sehemu kubwa ya Wakenya kwa maudhui yake yanayoonekana kuwa ya utata na ukosefu wa maadili. Kwenye video inayosambaa mtandaoni, Pastor T amesema kuwa amesikitishwa na mwelekeo wa Bahati na wasanii wengine wanaotumia maudhui tata ili kupata umaarufu wa haraka. […]

Read More
 Promota Nobart Apewa Onyo Kali na Jose Chameleone

Promota Nobart Apewa Onyo Kali na Jose Chameleone

Msanii mkongwe wa muziki nchini Uganda, Jose Chameleone, ametoa onyo kali kwa promota maarufu Nobart Events kufuatia matamshi yake ya mara kwa mara dhidi ya wasanii wa familia ya Mayanja. Chameleone ameeleza kuwa hajawahi kufanya kazi na Nobart kama promota, na hivyo haoni sababu ya kushambuliwa hadharani. Ameonyesha kutoridhishwa na kile alichokitaja kama chuki na […]

Read More