Lydia Jazmine Akanusha Kusaidiwa Kimaisha na Wanaume Matajiri

Lydia Jazmine Akanusha Kusaidiwa Kimaisha na Wanaume Matajiri

Staa wa muziki kutoka Uganda, Lydia Jazmine, amekanusha vikali uvumi unaoenea mitandaoni ukidai kuwa amekuwa akipata ufadhili wa kifedha kutoka kwa wanaume maarufu ili kufanikisha maisha yake ya kifahari. Akipiga stori na Youtuber mmoja nchini humo, mwimbaji huyo wa ngoma ya “Masukka” amesema kuwa hana mwanaume anayemgharamia maisha yake, akisisitiza kuwa kila kitu alicho nacho […]

Read More
 Instagram Yaanzisha Mpangilio Mpya wa Tabs kwa Watumiaji

Instagram Yaanzisha Mpangilio Mpya wa Tabs kwa Watumiaji

Kampuni ya Meta imetangaza kuwa Instagram ipo mbioni kuanzisha mpangilio mpya wa tabs kwenye app hiyo maarufu, katika juhudi za kuboresha matumizi na kuongeza ufanisi kwa watumiaji. Katika mabadiliko hayo mapya, watumiaji wataweza ku-swipe kwenda kushoto au kulia kubadilisha tabs, ikiwa ni pamoja na sehemu za Home, Reels, DMs (Direct Messages), na Search. Mpangilio huu […]

Read More
 Bien Apongeza Kodong Klan kwa Onyesho la Lililouza Tiketi Zote Nairobi

Bien Apongeza Kodong Klan kwa Onyesho la Lililouza Tiketi Zote Nairobi

Msanii kutoka kundi la Sauti Sol, Bien Aime Baraza, amewapongeza wanamuziki wa Kodong Klan kwa mafanikio makubwa ya onyesho lao lililofanyika katika ukumbi wa Masshouse Jijini Nairobi, ambapo tiketi zote ziliuzwa. Katika ujumbe wake wa pongezi, Bien ameeleza kuwa onyesho hilo lilikuwa miongoni mwa maonyesho bora zaidi aliyowahi kushuhudia katika tasnia ya muziki, akisisitiza kuwa […]

Read More
 Msanii Tipsy Gee Adai Wimbo Mpya wa Toxic Lyrikali Hauna Ubunifu

Msanii Tipsy Gee Adai Wimbo Mpya wa Toxic Lyrikali Hauna Ubunifu

Msanii anayesuasua kisanaa kutoka Kenya, Tipsy Gee, amemtolea uvivu rapa Toxic Lyrikali kwa kuuponda hadharani wimbo mpya wa rapa huyo uitwao “Euphoria.” Kupitia mitandao ya kijamii, Tipsy Gee ameonekana kutoridhishwa kabisa na ubora wa kazi hiyo, akisema kuwa wimbo huo haukidhi viwango vinavyotarajiwa kutoka kwa msanii ambaye sekta ya muziki inamtegemea. Tipsy Gee ambaye juzi […]

Read More
 Oga Obinna Atoa Ushauri kwa Wasanii Kufuatia Uharibifu wa Duka la Willy Paul

Oga Obinna Atoa Ushauri kwa Wasanii Kufuatia Uharibifu wa Duka la Willy Paul

Mtangazaji na mchekeshaji maarufu Oga Obinna ameonya wasanii wa Kenya kuhusu kuendesha biashara zao kwa tahadhari, kufuatia tukio ambapo genge la watu wasiojulikana liliharibu duka la pombe linalomilikiwa na msanii Willy Paul. Kupitia mitandao ya kijamii, Obinna amesisitiza kwamba wasanii wanapaswa kuwa wanyenyekevu na waangalifu wanapoingia katika biashara nje ya muziki ili kuepuka chuki na […]

Read More
 Marioo Atishia Kuanika Wanaomtongoza Mke Wake

Marioo Atishia Kuanika Wanaomtongoza Mke Wake

Msanii wa Bongo Fleva, Marioo, amefunguka kwa hasira akilalamikia watu maarufu, wanasiasa na marafiki wanaodaiwa kumtongoza mke wake Paula Kajala. Kupitia instastory, amesema amekuwa akivumilia kwa muda mrefu vitendo vya baadhi ya watu maarufu wanaojaribu kuingilia uhusiano wake, lakini sasa ameamua kuweka mambo hadharani. Hitmaker huyo wa Dunia, ameeleza kuwa ataweka wazi majina na ushahidi […]

Read More
 Harmonize Atangaza Kolabo Mpya na Alikiba

Harmonize Atangaza Kolabo Mpya na Alikiba

Staa wa muziki wa Bongo Fleva, Harmonize, ametangaza ujio wa kolabo yake na Alikiba, jambo lililowasisimua mashabiki wengi wa muziki Afrika Mashariki. Kupitia ukurasa wake wa Instagram, Harmonize amesema kuwa wimbo huo mpya unakuja hivi karibuni na ameuhakikishia umma kuwa utakuwa hit ya mwaka. Hatua hii imeonekana kama ishara ya umoja mpya katika muziki wa […]

Read More
 Willy Paul Akarabati Duka la Pozze Liquor Baada ya Kuvamiwa

Willy Paul Akarabati Duka la Pozze Liquor Baada ya Kuvamiwa

Staa wa muziki Willy Paul ametangaza kurejea kwa huduma katika duka lake la vileo, Pozze Liquor, siku chache baada ya wahuni kuvamia na kuharibu mali ya thamani ya mamilioni ya fedha. Kupitia ukurasa wake wa Instagram, Willy Paul ameeleza kuwa duka hilo limekarabatiwa kikamilifu, limejazwa upya bidhaa, na sasa limeboreshwa mara kumi zaidi. Hitmaker huyo […]

Read More
 Mama Dangote Asema Akifariki, Diamond Atapata Tabu Sana

Mama Dangote Asema Akifariki, Diamond Atapata Tabu Sana

Mama mzazi wa staa wa muziki wa Bongo Fleva, Diamond Platnumz, maarufu kama Mama Dangote, amesema wazi kuwa akifariki dunia, mwanawe atapata tabu sana kutokana na jinsi anavyomtegemea kihisia. Kupitia ukurasa wake wa Instagram, Mama Dangote ameeleza kwa hisia jinsi Diamond alivyorudi kutoka safarini na kuanza kudeka kama mtoto mdogo, hali inayomgusa sana kama mzazi. […]

Read More
 Wivu wa Paula Wamchelewesha Marioo Kuachia Video Mpya

Wivu wa Paula Wamchelewesha Marioo Kuachia Video Mpya

Msanii wa Bongo Fleva, Marioo, amefunguka kuwa kuchelewa kwake kuachia video yake mpya kumetokana na wivu wa mpenzi wake, Paula Kajala, ambaye ni binti wa muigizaji maarufu Frida Kajala. Kupitia Instagram, Marioo amesema alitarajia kutoa video hiyo jana kama alivyoahidi kwa mashabiki wake, lakini Paula alimzuia kutokana na baadhi ya vipande vilivyomo kwenye video hiyo […]

Read More