Mrembo wa Kenya Akiri Kuvutiwa na Alikiba, Atangaza Yuko Tayari kwa Date
Mrembo mmoja kutoka Kenya amezua gumzo mtandaoni baada ya kukiri waziwazi kuwa amevutiwa kimahaba na nyota wa muziki kutoka Tanzania, Alikiba, na kueleza kuwa yuko tayari kutoka naye endapo atapata nafasi hiyo. Akizungumza kupitia mitandao ya kijamii, mrembo huyo amesema hana majuto yoyote kuhusu hisia zake, akisisitiza kuwa anampenda kwa dhati staa huyo wa wimbo […]
Read More