Bien Afunguka Kufuatia Shinikizo za Wasanii Kuandaa Wimbo wa Kumuenzi Raila Odinga
Msanii wa Sauti Sol, Bien-Aimé Baraza, amefunguka baada ya shinikizo kutoka kwa baadhi ya wadau wa muziki waliohoji kwa nini wasanii wa Kenya hawakuandaa wimbo wa pamoja wa kumuomboleza hayati Raila Amolo Odinga. Kupitia sehemu ya maoni kwenye video ya YY Comedian iliyoenea mitandaoni, Bien ameacha ujumbe uliovutia hisia mseto mtandaoni kwa kuandika, “Watu wengine […]
Read More