Arsenal Yaomboleza Kifo Cha Raila Odinga
Klabu ya Arsenal imejiunga na mamilioni ya waombolezaji duniani kote kuomboleza kifo cha aliyekuwa Waziri Mkuu wa Kenya, Raila Amolo Odinga, ikimtaja kama kiongozi mwenye maono, aliyependa maendeleo na kuhimiza amani. Kupitia taarifa rasmi, miamba hao wa soka wa Uingereza wametuma salamu za rambirambi kwa taifa la Kenya na familia ya Odinga, wakisema Raila alikuwa […]
Read More