Harmonize Atoa Salamu za Pole kwa Wakenya Kufuatia Kifo cha Raila Odinga

Harmonize Atoa Salamu za Pole kwa Wakenya Kufuatia Kifo cha Raila Odinga

Mwanamuziki nyota wa Tanzania, Harmonize, ameungana na viongozi na mashabiki mbalimbali kutoka Afrika Mashariki kutuma salamu za rambirambi kwa Wakenya kufuatia kifo cha kiongozi wa upinzani, Raila Odinga. Kupitia Insta Stories zake, Harmonize amerepost ujumbe wa Rais Samia Suluhu Hassan akieleza masikitiko yake juu ya kifo hicho, na akaambatanisha na ujumbe wake wa kuonesha mshikamano […]

Read More
 Diamond Platnumz Atuma Salamu za Pole kwa Wakenya Kufuatia Kifo cha Raila Odinga

Diamond Platnumz Atuma Salamu za Pole kwa Wakenya Kufuatia Kifo cha Raila Odinga

Mwanamuziki nyota kutoka Tanzania, Diamond Platnumz, ametuma salamu za rambirambi kwa wananchi wa Kenya kufuatia kifo cha aliyekuwa Waziri Mkuu, Raila Odinga. Kupitia Insta Story Instagram, Diamond ameposti picha yake akiwa anaongea na marehemu Raila wakati wa hafla ya kampeni za uchaguzi mkuu wa mwaka 2022 katika uwanja wa Kasarani jijini Nairobi, akielezea masikitiko yake […]

Read More
 FKF Yasitisha Mechi Zote za Wikiendi Kuheshimu Kifo cha Raila Odinga

FKF Yasitisha Mechi Zote za Wikiendi Kuheshimu Kifo cha Raila Odinga

Shirikisho la Soka Nchini Kenya (FKF) limesimamisha rasmi mechi zote zilizopangwa kuchezwa mwishoni mwa juma hili, kama ishara ya heshima kwa aliyekuwa Waziri Mkuu wa nchi hiyo, Raila Odinga, aliyefariki dunia Jumatano asubuhi alipokuwa akipokea matibabu nchini India. Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa kwa vyombo vya habari, FKF imesema kuwa hatua hiyo inalenga kuungana na […]

Read More
 Windows 10 Yafika Tamati Baada ya Miaka 10 ya Matumizi

Windows 10 Yafika Tamati Baada ya Miaka 10 ya Matumizi

Mfumo wa kompyuta wa Windows 10 umefikia tamati rasmi, ambapo jana, Oktoba 14, 2025, ilikuwa siku ya mwisho kwa Microsoft kutoa msaada wa kiufundi na masasisho ya kiusalama kwa mfumo huo maarufu. Windows 10 ilizinduliwa rasmi mnamo Julai 29, 2015, na kwa kipindi cha miaka 10, imekuwa moja ya mifumo inayotumika zaidi duniani, hasa katika […]

Read More
 Jaguar Afichua Ombi la Mwisho la Raila Odinga Kabla ya Kifo Chake

Jaguar Afichua Ombi la Mwisho la Raila Odinga Kabla ya Kifo Chake

Msanii mkongwe wa muziki na mwanasiasa nchini Kenya, Jaguar, amefunguka kuhusu mazungumzo yake ya mwisho na marehemu Raila Amolo Odinga, akieleza kwamba kiongozi huyo alitamani kumwona akitunga wimbo mwingine. Kupitia ujumbe wake Instagram, Jaguar amesema kuwa alikutana na Raila walipokuwa kwenye ndege moja wakielekea Dubai, wiki chache zilizopita na katika mazungumzo yao, Raila alimwambia wazi […]

Read More
 Eric Omondi Aifariji Familia ya Odinga Kufuatia Kifo cha Raila

Eric Omondi Aifariji Familia ya Odinga Kufuatia Kifo cha Raila

Mchekeshaji maarufu Eric Omondi amejitokeza kuonyesha heshima na kutoa pole kwa familia ya marehemu Raila Odinga kufuatia kifo cha kiongozi huyo wa Kenya. Kupitia ukurasa wake wa Instagram, Eric ameposti video akionekana nyumbani kwa familia ya Odinga eneo la Karen, Nairobi, akimfariji Mama Ida Odinga. Katika video hiyo, alionekana akiwa na uso wa huzuni huku […]

Read More
 Bahati Atangaza Kuachia Wimbo wa Kuomboleza Raila Odinga

Bahati Atangaza Kuachia Wimbo wa Kuomboleza Raila Odinga

Mwanamuziki kutoka Kenya, Bahati, ametangaza kuwa ataachia wimbo maalum wa kuomboleza kifo cha kiongozi wa ODM, Raila Odinga, mchana wa leo. Kupitia ukurasa wake wa mitandao ya kijamii, Bahati amesema kuwa wimbo huo ni njia yake ya kumuenzi kiongozi huyo ambaye, kwa mujibu wake, amekuwa nguzo muhimu katika siasa za Kenya na amegusa maisha ya […]

Read More
 Msanii Shalkidoh Kuzikwa Leo Ruiru, Kaunti ya Kiambua

Msanii Shalkidoh Kuzikwa Leo Ruiru, Kaunti ya Kiambua

Aliyekuwa msanii wa kundi la Sailors, Shalkido, anatarajiwa kuzikwa leo katika eneo la Ruiru, Kaunti ya Kiambu, wiki moja baada ya kufariki dunia kutokana na ajali ya barabarani. Kupitia ukurasa wake wa Instagram, rafiki wa karibu na msanii huyo enzi za uhai wake anayefahamika kama 2Mbili ametoa wito kwa wasanii na Wakenya kujitokeza kwa wingi […]

Read More
 Wasanii na wanahabari waomboleza kifo cha Raila Odinga

Wasanii na wanahabari waomboleza kifo cha Raila Odinga

Sekta ya burudani na vyombo vya habari nchini Kenya zimeingia katika majonzi makubwa kufuatia taarifa za kifo cha kiongozi wa upinzani na mwanasiasa mkongwe, Raila Amolo Odinga, ambaye amefariki dunia nchini India kutokana na mshtuko wa moyo. Kifo chake kimezua simanzi kote nchini humo, huku wadau wa sekta ya burudani na habari wakijitokeza kutoa rambirambi […]

Read More