20 Percent Ataka Wasanii Wanaoimba Matusi Kufungwa Jela
Msanii mkongwe kwenye gemu ya Bongo Fleva, 20 Percent, ametoa kauli nzito kuhusu wimbi la wasanii kutoa nyimbo zenye matusi, akisema suluhisho si kufungia kazi hizo bali kuwaadhibu moja kwa moja wasanii wanaohusika. Akizungumza kupitia kipindi cha Funky Friday, 20 Percent amesema kuwa hatua ya mamlaka husika kufungia au kuzuia nyimbo haitoshi kudhibiti maudhui machafu, […]
Read More