Akothee Afunguka Kuhusu Mzozo na Fundi, Adai Hakutimiza Makubaliano
Mwanamuziki kutoka Kenya, Akothee, ameibuka na kutoa kauli yake kuhusiana na mgogoro unaoendelea kati yake na fundi seremala aliyemtengezea samani. Kupitia mitandao ya kijamii, Akothee ameeleza kwa kina kwamba fundi huyo hakutimiza masharti ya kazi kama walivyokubaliana. Akothee amesema licha ya kutoridhishwa na kazi iliyofanyika, tayari alikuwa amemlipa fundi huyo asilimia 80 ya malipo yaliyokubaliwa. […]
Read More