Weezdom Amkosoa Bahati kwa Kuvaa Mavazi ya Mkewe

Weezdom Amkosoa Bahati kwa Kuvaa Mavazi ya Mkewe

Msanii wa zamani wa muziki wa injili na meneja wa burudani, Weezdom, ameeleza masikitiko yake kuhusu mwenendo wa msanii Bahati, ambaye kwa sasa amegeukia maudhui yenye utata mtandaoni. Kupitia instastory yake kwenye mtandao wa Instagram, Weezdom amesema Bahati alikuwa mfano bora wa kuigwa, hasa kwa vijana na familia, na aliwahi kutumia kipaji chake kueneza neno […]

Read More
 Bahati Atangaza Ndoa na Diana Marua Mwaka 2026

Bahati Atangaza Ndoa na Diana Marua Mwaka 2026

Msanii nyota wa muziki nchini Kenya, Bahati, amewapa mashabiki wake habari ya kusisimua baada ya kuashiria kuwa hatimaye anapanga kufunga ndoa na mpenzi wake wa muda mrefu, Diana Marua, mwaka ujao. Kupitia ujumbe wa hisia aliouchapisha kwenye mitandao ya kijamii, Bahati alifichua kuwa mwaka 2026 utakua wa kipekee kwao, kwani wataadhimisha miaka 10 ya kuwa […]

Read More
 Msanii Bahati Alazwa Hospitalini, Asema Ni Mara ya Kwanza Katika Miaka 33

Msanii Bahati Alazwa Hospitalini, Asema Ni Mara ya Kwanza Katika Miaka 33

Msanii maarufu wa muziki nchini Kenya, Bahati, amelazwa hospitalini baada ya kuugua ghafla, hali iliyomlazimu kuchukua mapumziko kutoka kwa shughuli za mitandao ya kijamii. Kupitia chapisho la hisia kwenye ukurasa wake wa Instagram, Bahati alieleza kuwa kwa zaidi ya miaka 33 ya maisha yake hajawahi kulazwa hospitalini, lakini kwa sasa ameathirika kiafya kiasi cha kulazimika […]

Read More
 Bahati Akiri Kudanganya kuhusu Kunyoa Nywele

Bahati Akiri Kudanganya kuhusu Kunyoa Nywele

Msanii mashuhuri wa muziki nchini Kenya, Kevin Bahati, maarufu kama Bahati, amefichua kuwa hakuwahi kunyoa nywele zake aina ya rasta kama ilivyodhaniwa awali. Kupitia chapisho katika ukurasa wake rasmi wa Instagram, Bahati alieleza kuwa picha zilizokuwa zikimuonesha akiwa hana nywele zilihaririwa kwa makusudi, kama sehemu ya mkakati wa kisanaa. Katika ujumbe wake, Bahati aliandika: “Nimechoka kujificha pia […]

Read More
 Bahati Awashukuru Mashabiki kwa Kumpongeza kwa Muonekano Mpya Licha ya Video Kuzua Maswali

Bahati Awashukuru Mashabiki kwa Kumpongeza kwa Muonekano Mpya Licha ya Video Kuzua Maswali

Mwanamuziki wa Kenya, Bahati, amezua gumzo mitandaoni baada ya kuwashukuru mashabiki wake kwa pongezi walizompa kuhusu muonekano wake mpya bila nywele. Kupitia video aliyochapisha kwenye kurasa zake za mitandao ya kijamii, Bahati alidai kuwa alinyoa rasta zake kufuatia kichapo cha timu yake ya Arsenal mikononi mwa PSG, katika mechi ya hivi karibuni ya UEFA Champions […]

Read More
 Willy Paul akosolewa kwa kutumia Kshs millioni 3.5 kuandaa video ya wimbo wake

Willy Paul akosolewa kwa kutumia Kshs millioni 3.5 kuandaa video ya wimbo wake

Staa wa muziki nchini Kenya Willy Paul anazidi kupata ukosoaji mkubwa kutoka kwa mashabiki mbali mbali wa muziki baada ya msanii huyo kuweka wazi kuwa alitumia kiasi cha shillingi millioni 3.5 kuandaa video ya wimbo wake mpya ‘Keki’ aliyomshirikisha Bahati. Kupitia post aliyochapisha kwenye ukurasa wake wa Instagram akijinadi kutumia kiasi hicho cha fedha kwenye […]

Read More
 Bahati adokeza ujio wa kolabo yake na Harmonize

Bahati adokeza ujio wa kolabo yake na Harmonize

Wakati bado Bahati anaendelea kufanya vizuri na wimbo wake mpya ‘Nowe Sweety,’ ameonyesha kuwa hataki kulaza damu kuhusu muziki,ameonekana ujio wa kazi yake mpya na msanii wa BongoFleva Harmonize. Kupitia ukurasa wake wa Instagram Bahati amepost picha akiwa na Harmonize na kuandika ‘2023 are You Ready for Us??? Brother  @Harmonize_tz ‘ na Harmonize akajibu kwa kuandika ‘SEND IT BRO I HAVE […]

Read More
 Diana B ashindwa kuficha hisia zake kwa mume wake Bahati

Diana B ashindwa kuficha hisia zake kwa mume wake Bahati

Mwanamitandao aliyegeukia muziki nchini Diana B ameamua kuwapa somo wanawake wa Kenya jinsi ya kuwaonyesha upendo wapenzi zao. Mama huyo wa watoto watatu ameshea video hii kwenye ukurasa wake wa Instagram akiwa anamlisha mume wake Bahati ambaye kwa sasa anaumwa. Kwenye posti yake hiyo ameandika ujumbe mzito wa mahaba kwenda kwa mume wake huyo ambaye […]

Read More
 Weezdom akiri kupatwa na msongo wa mawazo kisa Bahati

Weezdom akiri kupatwa na msongo wa mawazo kisa Bahati

Msanii Weezdom amefunguka kupatwa na msongo wa mawazo baada ya kuachana na aliyekuwa bosi wake chini ya label ya EMB Records, Bahati. Kwenye mahojiano na Podcast ya EMM, amesema tangu uhusiano wake na Bahati kuingiwa na ukungu, ilikuwa vigumu kwake kujikimu kimaisha jambo lilimpelekea kuchukua maamuzi magumu na kuanza kubugua pombe kupindukia kama njia ya […]

Read More
 Bahati akoshwa na wimbo wa Dullah Makabila, “Pita Huku”

Bahati akoshwa na wimbo wa Dullah Makabila, “Pita Huku”

Mwimbaji nyota wa muziki toka Kenya, Bahati ameonyesha kukoshwa na ubunifu alioutumia staa wa Singeli nchini, msanii Dulla Makabila kwenye video ya wimbo wake mpya Pita Huku ulioibua mijadala juu ya mengi kufuatia yaliyo zungumziwa kwenye wimbo huo. Akiacha koment kwenye video hiyo katika mtandao wa YouTube, ujumbe wa Bahati unasomeka, “Huu ni Ubunifu Kaka Yangu. Hongera kwa Muziki mzuri”. […]

Read More