Bahati apewa tuzo ya heshima Youtube

Bahati apewa tuzo ya heshima Youtube

Staa wa muziki nchini Bahati ametunukiwa tuzo ya Golden Plaque na mtandao wa Youtube baada ya kufikisha jumla ya subscribers millioni moja kwenye channel yake. Bahati ametumia ukurasa wake wa mtandao wa kijamii wa Instagram kuwashukuru mashabiki zake kwa upendo ambao wanazidi kumuonyesha kupitia kazi zake za muziki huku akiahidi kuendelea kuwapa burudani zaidi. Channel […]

Read More
 Bahati athibitisha kufanya kolabo na Nick Minaj

Bahati athibitisha kufanya kolabo na Nick Minaj

Mwanamuziki wa Kenya Bahati amethibitisha kufanya kazi ya pamoja na Rapa kutoka Marekani Nicki Minaj. Bahati ameweka taarifa hiyo kupitia akaunti yake ya Instagram akifichua kuwa wataachia rasmi wimbo wao mwaka 2023. “2023, Bahati na Nicki Minaj imethibitishwa..,” ameandika kupitia Insta stori yake. Baadhi ya Mashabiki wametilia shaka habari hizo ikizingitiwa kuwa mwanamuziki huyo amekuwa […]

Read More
 Bahati kufunga ndoa Novemba 30 mwaka huu

Bahati kufunga ndoa Novemba 30 mwaka huu

Mwanamuziki kutoka nchini Kenya Bahati ameashiria kufunga pingu za maisha na mama ya watoto wake Diana B mwishoni mwa mwezi huu. Bahati amedokeza hayo kwa picha ya kupitia ukurasa wake wa Instagram na kisha kuweka ishara ya pete ya ndoa ambayo ameambatanisha na ujumbe unaotaja tarehe 30/11 kufanya jambo la kihistoria. β€œ30TH NOVEMBER 2022 ”, […]

Read More
 Diana B anyosha maelezo kuhusu video iliyosambaa mtandaoni akikiri kutoka kimapenzi na wanaume wengi

Diana B anyosha maelezo kuhusu video iliyosambaa mtandaoni akikiri kutoka kimapenzi na wanaume wengi

Msaniii naΒ  mwanamitandao maarufu kutoka Kenya Diana Marua amefunguka juu ya video iliyosambaa mtandaoni akikiri kuwa alitembea na wanaume wengi kimapenzi kwa ajili ya kukidhi mahitaji yake ya msingi. Kupitia ujumbe mrefu aliochapisha kwenye ukurasa wake wa Instagram Diana amesema aliweka wazi suala hilo kwa umma kwa lengo la kuwapa moyo vijana wanaopitia masha magumu. […]

Read More
 Diana B azua gumzo mtandaoni baada ya video yake akikiri kutoka kimapenzi na wanaume tofauti kusambaa

Diana B azua gumzo mtandaoni baada ya video yake akikiri kutoka kimapenzi na wanaume tofauti kusambaa

Watumiaji wa mitandao ya kijamii wametoa maoni mbali kuhusu video ya Diana Marua akiri hadharani kutoka kimapenzi na wanaume tofauti kwa ajili ya pesa. Diana alichapisha video hiyo mwaka 2020 mtandaoni ambapo alidai kwamba kabla ya kukutana na mume wake Bahati alikuwa anachepuka na wanaume wengi kwa lengo la kukidhi mahitaji yake ya msingi. Haikushia […]

Read More
 Mr. Seed afunguka chanzo cha kumaliza ugomvi wake na Bahati

Mr. Seed afunguka chanzo cha kumaliza ugomvi wake na Bahati

Mwanamuziki kutoka nchini Kenya Seed amefichua kuwa waliamua kumaliza ugomvi wao na Bahati kwa manufaa ya watoto wao. Kwenye mahojiano na World IS, Mr. Seed amesema watoto wao walikuwa wakishambuliwa kila mara kwenye mitandao ya kijamii kutokana na utofauti wao kimuziki, kitendo kilichowalazimu kukutana na kuweka kando uhasama wao ambao ungeathiri ukuaji wa watoto wao […]

Read More
 Bahati akerwa na kitendo cha mashabiki kumuita mheshimiwa

Bahati akerwa na kitendo cha mashabiki kumuita mheshimiwa

Msanii nyota nchini Bahati amewaonya mashabiki dhidi ya kumuita Mheshimiwa ikiwa ni miezi kadhaa imepita tangu ashindwe kwenye uchaguzi mkuu wa mwezi Agosti mwaka huu. Kupitia mitandao yake ya kijamii hitmaker huyo wa Adhiambo ameshangazwa na kitendo cha watu kumhusisha na jina hilo kila mara huku akiwataka kutumia jina la Bahati ambalo amekuwa akilitumia kwenye […]

Read More
 Diana B na Bahati watangaza jinsia ya mtoto wao

Diana B na Bahati watangaza jinsia ya mtoto wao

Couple pendwa nchini inayoundwa na wasanii Diana B pamoja na Bahati imetangaza jinsia ya mtoto wao wa tatu ambaye atazaliwa hivi karibuni. Katika hafla ya kutambulisha jinsia ya mtoto huyo wawili hao wameweka wazi kuwa wanatarajia kupata mtoto wa kiumemuda wowote kuanzia sasa Hata hivyo mashabiki na mastaa mbali mbali wamewapongeza wawili hao kwa hatua […]

Read More
 Bahati amkataa Raila Odinga, akiri uchaguzi mkuu nchini Kenya ulikumbwa na dosari

Bahati amkataa Raila Odinga, akiri uchaguzi mkuu nchini Kenya ulikumbwa na dosari

Staa wa muziki nchini Bahati amefunguka sababu za kudinda kuchukua kazi ambayo kinara wa Azimio Raila Odinga aliahidi kumpa pindi atakapotua uongozi wa nchi kwenye uchaguzi uliokamilika. Bahati amesema alijua kuwa uchaguzi mkuu wa mwaka huu ungekumbwa na dosari na ndio maana akaendelea na azma yake ya kuwania ubunge Mathare licha ya kushurutishwa kujiondoa kwenye […]

Read More
 BAHATI AZUA GUMZO MTANDAONI KWA KUFUTA KILA KITU INSTAGRAM

BAHATI AZUA GUMZO MTANDAONI KWA KUFUTA KILA KITU INSTAGRAM

Staa wa muziki nchini Bahati amefuta picha na video zake kwenye mtandao wa Instagram, hatua iliyohisiwa ni ujio wake mpya. Hatua hii ya Bahati imevuta hisia za baadhi ya mashabiki ikihisiwa kuwa huenda akaachia kazi mpya hivi karibuni baada ya kukaa kimya tangu apoteze kiti cha ubunge mathare kwenye uchaguzi mkuu uliokamilika nchini kenya. Uamuzi […]

Read More