Bahati Asema Amechoka Kutrend, Awaomba Wakenya Kutoa Nafasi kwa Wasanii Wengine

Bahati Asema Amechoka Kutrend, Awaomba Wakenya Kutoa Nafasi kwa Wasanii Wengine

Staa wa muziki kutoka Kenya, Bahati, amewaomba mashabiki wake pamoja na Wakenya kwa jumla kumpa mapumziko baada ya jina lake kuwa gumzo mitandaoni tangu arejee rasmi kwenye muziki wiki chache zilizopita. Kupitia ukurasa wake wa Instagram Stories, Bahati ameonekana kuchoshwa na hali ya kutajwa kila mara mtandaoni, akisema kuwa tangu afanye kurejea kwake kwenye muziki […]

Read More
 Bahati Amshambulia Pastor T Baada ya Kukosoa Wimbo Wake

Bahati Amshambulia Pastor T Baada ya Kukosoa Wimbo Wake

Msanii mwenye utata nchini Kenya, Bahati, ameonekana kukerwa na kauli ya Pastor T aliyesema kwamba muziki wake unaweza kuwa na athari mbaya kwa watoto wake. Akipiga stori na Radio Maisha, Bahati amesema kuwa ni unafiki kwa mhubiri huyo kumuhukumu ilhali yeye mwenyewe aliwahi kuwa na maisha yasiyo ya kiroho kabla hajageukia ukasisi. Bahati amesema kuwa […]

Read More
 Bahati Aomba Radhi Baada ya Kukosolewa kwa Chapisho Kuhusu Marehemu Shalkido

Bahati Aomba Radhi Baada ya Kukosolewa kwa Chapisho Kuhusu Marehemu Shalkido

Msanii wa muziki kutoka Kenya, Bahati, ameomba radhi hadharani baada ya kuzua mjadala mkubwa mtandaoni kufuatia ujumbe wa picha ya mazungumzo (screenshot) aliouchapisha wakati akiomboleza kifo cha msanii wa Gengetone, Shalkido. Kupitia Instagram, Bahati ametoa ufafanuzi akisema ujumbe huo ulieleweka vibaya na kwamba mawasiliano hayo yalikuwa kati ya Shalkido na timu yake ya usimamizi, si […]

Read More
 Mashabiki Wamkosoa Bahati kwa Kuuonyesha DM ya Marehemu Shalkido

Mashabiki Wamkosoa Bahati kwa Kuuonyesha DM ya Marehemu Shalkido

Msanii Bahati amekosolewa vikali na mashabiki mitandaoni baada ya kushiriki picha ya ujumbe wa DM kutoka kwa marehemu msanii wa Gengetone, Shalkido, aliyeaga dunia hivi karibuni. Kwenye screenshot aliyochapisha, Shalkido alikuwa akimuomba Bahati kufanya kolabo au kumunganisha na mkewe Diana Bahati ili waweze kushirikiana katika wimbo. Hata hivyo, kilichowakasirisha mashabiki wengi ni kwamba Bahati hakuwahi […]

Read More
 Bahati Awachana Watesi Wake Baada ya “Seti” Kufikisha Views Milioni Moja

Bahati Awachana Watesi Wake Baada ya “Seti” Kufikisha Views Milioni Moja

Msanii wa muziki kutoka Kenya, BahatI, ameendelea kusherehekea mafanikio makubwa baada ya wimbo wake wenye utata, “Seti”, kufikisha zaidi views milioni moja ndani ya siku tatu tangu kuzinduliwa kwenye mtandao wa YouTube. Kupitia mitandao yake ya kijamii, Bahati amedai kuwa amevunja rekodi kwa kuwa msanii wa Kenya mwenye wimbo uliotazamwa zaidi ndani ya saa 24, […]

Read More
 Bahati Aingia Kwenye Orodha ya Wasanii Wenye Nyimbo Zilizopata Ukosoaji Mkubwa YouTube

Bahati Aingia Kwenye Orodha ya Wasanii Wenye Nyimbo Zilizopata Ukosoaji Mkubwa YouTube

Msanii wa muziki wa Kenya, Bahati, amejiunga na orodha ya wasanii waliokumbwa na ukosoaji mkubwa kwenye jukwaa la YouTube baada ya kuachia video ya wimbo wake mpya “Seti”. Video hiyo, iliyoachia rasmi Jumatano wiki hii, imepokea zaidi ya dislikes 24,000 dhidi ya takribani likes 16,000, hali inayoashiria mapokezi yenye sura hasi kutokana maudhui yake yanayodaiwa […]

Read More
 Bahati Awatolea Uvivu Wasanii Wanaomtukana Diana B kwa Akaunti Bandia

Bahati Awatolea Uvivu Wasanii Wanaomtukana Diana B kwa Akaunti Bandia

Msanii wa Kenya Bahati ameibuka na kuwatolea uvivu wasanii wanaomtukana mkewe, Diana Marua, kupitia akaunti bandia, akisema wanapoteza muda badala ya kuangazia kazi zao. Kupitia Instagram, Bahati, ameonekana kuguswa na matusi anayopokea Diana, akiwashambulia wanaoendesha chuki hizo kwa kusema kwamba badala ya kutumia nguvu kumshusha Diana, wanapaswa kumuomba ushirikiano wa kimuziki. Bosi huyo wa EMB […]

Read More
 Bahati Awajibu Wakosoaji Kuhusu Kuonyesha Utajiri

Bahati Awajibu Wakosoaji Kuhusu Kuonyesha Utajiri

Msanii kutoka Kenya, Bahati, ameibuka na kuwatolea uvivu wakosoaji wanaomshutumu kwa tabia yake ya kuonyesha mali na maisha ya kifahari kupitia mitandao ya kijamii. Kwa mujibu wa msanii huyo, hakuna tatizo lolote katika kuonyesha mafanikio kwani ameyapata kupitia juhudi kubwa na bidii aliyoweka kwa muda mrefu. Anasisitiza kuwa kila mtu ana uhuru wa kuishi maisha […]

Read More
 Bahati Amchana Mariga, Asema Binti Yake Ni Maarufu Zaidi

Bahati Amchana Mariga, Asema Binti Yake Ni Maarufu Zaidi

Mwanamuziki Bahati amemchana bila huruma Mwenyekiti wa Shirikisho la Soka Nchini (FKF), McDonald Mariga, akidai kwamba hana jina kubwa la kutumiwa kama chanzo cha kiki. Bahati amesema anamuheshimu Mariga kama gwiji wa soka, lakini akashangazwa na madai kwamba anatafuta umaarufu kupitia jina lake. Amesisitiza kuwa hata binti yake wa mwisho, Malaika, ana umaarufu mkubwa zaidi […]

Read More
 Diana Bahati Aonyesha Utajiri wake Wakati Mumewe Akikumbwa na Kashfa

Diana Bahati Aonyesha Utajiri wake Wakati Mumewe Akikumbwa na Kashfa

Mke wa msanii Bahati, Diana Marua maarufu kama Diana B, amewajibu kimkakati wanaozidi kumbeza mume wake Bahati ambaye anahusishwa na kashfa ya kushindwa kutimiza ahadi yake ya kutoa KSh1 milioni kwa timu ya taifa, Harambee Stars. Kupitia ukurasa wake wa Instagram, Diana alionekana akijivunia shopping ya mwezi mmoja iliyogharimu takribani KSh160,000. Bidhaa alizonunua zilijumuisha vyakula, […]

Read More