Bien Afunguka Kufuatia Shinikizo za Wasanii Kuandaa Wimbo wa Kumuenzi Raila Odinga

Bien Afunguka Kufuatia Shinikizo za Wasanii Kuandaa Wimbo wa Kumuenzi Raila Odinga

Msanii wa Sauti Sol, Bien-Aimé Baraza, amefunguka baada ya shinikizo kutoka kwa baadhi ya wadau wa muziki waliohoji kwa nini wasanii wa Kenya hawakuandaa wimbo wa pamoja wa kumuomboleza hayati Raila Amolo Odinga. Kupitia sehemu ya maoni kwenye video ya YY Comedian iliyoenea mitandaoni, Bien ameacha ujumbe uliovutia hisia mseto mtandaoni kwa kuandika, “Watu wengine […]

Read More
 Bien Asema Kifo cha Raila Ni Pigo kwa Demokrasia ya Kenya

Bien Asema Kifo cha Raila Ni Pigo kwa Demokrasia ya Kenya

Mwanamuziki Bien-Aimé Baraza wa kundi la Sauti Sol amefunguka kwa uchungu mkubwa kufuatia kifo cha kiongozi wa upinzani nchini Kenya, Raila Amollo Odinga. Kupitia ujumbe alioweka kwenye mitandao yake ya kijamii, Bien amesema kuwa kifo cha Raila ni sawa na kupotea kwa hazina kubwa ya hekima na historia ya taifa. Ameongeza kuwa Odinga alikuwa kiongozi […]

Read More