Diana Marua Akanusha Madai ya Kufanyiwa Surgery Baada ya Kuonekana Kupungua Uzito

Diana Marua Akanusha Madai ya Kufanyiwa Surgery Baada ya Kuonekana Kupungua Uzito

Staa wa mitandao ya kijamii nchini Kenya, Diana Bahati, amekanusha vikali madai yanayoenea mtandaoni kuwa amefanyiwa upasuaji baada ya kuonekana kupungua uzito. Kupitia InstaStory, Diana ameweka wazi kuwa hajafanya upasuaji wowote wa kubadili muonekano wake, akiisitiza kuwa madai hayo hayana ukweli wowote na ni uvumi tu wa mitandaoni. Mbali na hilo, Diana B pia amepuzilia […]

Read More
 Diana B Awaacha Mashabiki Midomo Wazi kwa Matumizi ya Nyumbani ya Zaidi ya KES 119,000

Diana B Awaacha Mashabiki Midomo Wazi kwa Matumizi ya Nyumbani ya Zaidi ya KES 119,000

Malkia wa mitandao ya kijamii, Diana B, ameonyesha kwa vitendo namna anavyotumia kwa busara pesa anazozikeshea na kuzitolea jasho kupitia kazi zake mbalimbali. Mkali huyo wa “Bibi ya Tajiri” amewaacha mashabiki wengi vinywa wazi baada ya kufichua kiasi kikubwa cha fedha alichotumia kwa ununuzi wa bidhaa za matumizi ya nyumbani kwa mwezi wa Januari. Kupitia […]

Read More
 Familia ya Bahati Yajiandaa Kumpata Mtoto Mwingine Baada ya Ujauzito Kuthibitishwa

Familia ya Bahati Yajiandaa Kumpata Mtoto Mwingine Baada ya Ujauzito Kuthibitishwa

Malkia wa mitandao ya kijamii na mke wa mwanamuziki Bahati, Diana Marua, amethibitisha rasmi kuwa ni mjamzito, akifunga mjadala na tetesi zilizokuwa zikiendelea kwa kasi mitandaoni. Kupitia video aliyoshiriki, Diana amewaleta watoto wake pamoja kwa mazungumzo kabla ya kuwafahamisha kuwa familia yao iko njiani kumpokea mwanafamilia mpya. Akiwa na tabasamu na msisimko, amewaambia watoto wake […]

Read More
 Diana B Awaonya Mabinti Wanaonyemelea Mwanaye Morgan Bahati Mtandaoni

Diana B Awaonya Mabinti Wanaonyemelea Mwanaye Morgan Bahati Mtandaoni

Mwanamitandao aliyegeukia muziki Diana Bahati amemwonya waziwazi mabinti mtandaoni kumuepuka mwanawe, Morgan Bahati, kufuatia mawasiliano ambayo hayakumpendeza kama mzazi. Katika ujumbe wake, Diana amesisitiza kuwa hana tatizo na mashabiki kumpenda au kuwasiliana na Morgan, lakini amekemea vikali tabia ya wasichana kumwomba hela mtoto wake, akibainisha kuwa lengo lake ni kuhakikisha Morgan anazingatia masomo na malezi […]

Read More
 Diana B Amtaka Bahati Afute Wimbo Wake Mpya kwa Sababu za Maadili

Diana B Amtaka Bahati Afute Wimbo Wake Mpya kwa Sababu za Maadili

Mwanamitandao aliyegeukia muziki Diana B amemkosoa hadharani mume wake, Bahati, kufuatia kuachia video ya wimbo wenye utata uitwao “Seti.” Diana amemtaka Bahati kuondoa video hiyo ya wimbo huo kwenye mitandao ya kijamii, akieleza kuwa maudhui yake hayaendani na maadili ya kifamilia. Amesema kuwa hatakuwa tayari kuendeleza uhusiano wao wa kifamilia hadi pale Bahati atakapochukua hatua […]

Read More
 Diana Marua Ajitenga na Mwelekeo Mpya wa Muziki wa Bahati

Diana Marua Ajitenga na Mwelekeo Mpya wa Muziki wa Bahati

Mke wa msanii Bahati, Diana Marua, ameibua gumzo mtandaoni baada ya kujitenga wazi na mwelekeo mpya wa muziki wa mumewe unaohusisha maudhui yanayodaiwa kwenda kinyume na maadili ya jamii. Kupitia taarifa yake kwa mashabiki, Diana amesema anatambua na anaheshimu safari ya Bahati kama msanii na maamuzi anayochukua kwa ajili ya taaluma yake, lakini akasisitiza kuwa […]

Read More
 Diana Bahati Aonyesha Utajiri wake Wakati Mumewe Akikumbwa na Kashfa

Diana Bahati Aonyesha Utajiri wake Wakati Mumewe Akikumbwa na Kashfa

Mke wa msanii Bahati, Diana Marua maarufu kama Diana B, amewajibu kimkakati wanaozidi kumbeza mume wake Bahati ambaye anahusishwa na kashfa ya kushindwa kutimiza ahadi yake ya kutoa KSh1 milioni kwa timu ya taifa, Harambee Stars. Kupitia ukurasa wake wa Instagram, Diana alionekana akijivunia shopping ya mwezi mmoja iliyogharimu takribani KSh160,000. Bidhaa alizonunua zilijumuisha vyakula, […]

Read More
 DIANA B AFUNGUKA KUHUSU UKIMYA WA MUME WAKE BAHATI

DIANA B AFUNGUKA KUHUSU UKIMYA WA MUME WAKE BAHATI

Mwanamuziki na mtayarishaji wa maudhui nchini Diana Bahati, amemkingia kifua mumewe Kevin Bahati, kwa madai ya kutotumia akaunti yake ya Instagram kwa muda mrefu. Akimjibu shabiki yake aliyetaka kufahamu kiini cha ukimya wa hitmaker huyo wa ngoma Adhiambo diana b kupitia ukurasa wake wa Instagram amesema ukimya wa bahati umetokana na msanii huyo kujikita zaidi […]

Read More
 DIANA BAHATI AMTAMBULISHA MSANII WAKE MPYA CHINI LEBO YA MUZIKI YA DIANA B ENTERTAINMENT

DIANA BAHATI AMTAMBULISHA MSANII WAKE MPYA CHINI LEBO YA MUZIKI YA DIANA B ENTERTAINMENT

Mwanamitandao aliyegeukia muziki nchini Diana Bahati amemtambulisha msanii wake mpya wake mpya anayekwenda kwa jina la Vinny fleva. Kupitia ukurasa wake wa instagram Diana B amesema vinny flava atakuwa chini ya lebo yake ya muziki ya Diana B Entertainment ambayo itasimamia kazi zake zote za muziki huku akiwataka mashabiki zake wamkaribishe msanii huyo  ambayo kwa […]

Read More