Geofrey Lutaaya Ataka Ambulance Aliyotoa Kwa Wananchi Irejeshwe Baada ya Kushindwa Ubunge

Geofrey Lutaaya Ataka Ambulance Aliyotoa Kwa Wananchi Irejeshwe Baada ya Kushindwa Ubunge

Mwanamuziki aliyegeukia siasa nchini Uganda Geofrey Lutaaya ameripotiwa kutaka ambulance aliyoinunua kwa wananchi wakati wa kampeni irejeshwe, kufuatia kushindwa kwake kwenye uchaguzi wa ubunge uliomalizika hivi karibuni. Kwa mujibu wa vyanzo vya karibu, Lutaaya ametoa makataa ya mwezi mmoja akitaka ambulance hiyo irudishwe kwake. Inadaiwa kuwa msanii huyo amechukizwa na matokeo ya uchaguzi baada ya […]

Read More
 Geoffrey Lutaaya Ashindwa Kiti cha Ubunge Kakuuto Kupitia NUP

Geoffrey Lutaaya Ashindwa Kiti cha Ubunge Kakuuto Kupitia NUP

Mgombea wa chama cha National Unity Platform (NUP), Geoffrey Lutaaya, ameshindwa katika kinyang’anyiro cha ubunge wa Kaunti ya Kakuuto wilayani Kyotera, baada ya kupoteza dhidi ya mgombea wa chama tawala cha NRM, Ismail Lubega. Lutaaya, ambaye alikuwa anawania kutetea kiti hicho, aliingia bungeni kwa mara ya kwanza mwaka 2021 baada ya kuchaguliwa kuiwakilisha NUP katika […]

Read More
 Lutaaya Akanusha Kutelekeza Binti, Atoa Ushahidi wa Malipo ya Ada

Lutaaya Akanusha Kutelekeza Binti, Atoa Ushahidi wa Malipo ya Ada

Mbunge na mwanamuziki wa Uganda, Geoffrey Lutaaya, ameibuka na kujitetea vikali baada ya video ya msichana mwenye umri wa miaka 17, anayejulikana kama Nambatya, kusambaa mtandaoni ikimshutumu kwa kutelekeza majukumu ya kifamilia. Katika taarifa yake kwa vyombo vya habari, Lutaaya amekanusha madai hayo akionyesha stakabadhi anazodai ni ushahidi wa malipo ya ada kamili kwa ajili […]

Read More