Harmonize Atangaza Harusi Yenye Sherehe Sita

Harmonize Atangaza Harusi Yenye Sherehe Sita

Msanii nyota wa Bongo Fleva, Harmonize, ameibua mijadala mitandaoni baada ya kuchapisha ujumbe kupitia Insta Story yake akieleza kuwa anatarajia kufunga ndoa hivi karibuni. Katika ujumbe huo uliojaa msisimko, msanii huyo alisema harusi yake haitakuwa ya kawaida, bali itahusisha sherehe sita kubwa zitakazofanyika katika maeneo mbalimbali. Kwa mujibu wa maelezo yake, Harmonize amesema harusi hiyo […]

Read More
 Akaunti ya Instagram ya Konde Gang Yafungwa Ghafla

Akaunti ya Instagram ya Konde Gang Yafungwa Ghafla

Akaunti rasmi ya Instagram ya lebo ya muziki ya Konde Gang, inayomilikiwa na msanii nyota Harmonize, imefungwa ghafla, jambo lililozua maswali mengi miongoni mwa mashabiki na wadau wa muziki. Mpaka sasa, hakuna taarifa rasmi iliyotolewa kuhusu sababu ya kufungwa kwa ukurasa huo, ambao ulikuwa na zaidi ya wafuasi milioni 2 na ulikuwa ukitumiwa kwa matangazo […]

Read More
 Harmonize Aendelea Kuumia Kimapenzi, Aandika Machungu Snapchat

Harmonize Aendelea Kuumia Kimapenzi, Aandika Machungu Snapchat

Msanii maarufu wa Bongo Fleva, Harmonize, anaonekana kupitia kipindi kigumu upande wa mahusiano licha ya kuwa na jina kubwa kwenye tasnia ya muziki na utajiri wa kutosha. Kupitia akaunti yake ya Snapchat, Harmonize amemwaga hisia zake kwa uchungu kuhusu mpenzi wake ambaye bado hajawa tayari kumkubali kikamilifu kwenye maisha yake. Katika ujumbe wake, Harmonize alieleza […]

Read More
 Harmonize Atamani Kuwa Baba, Aonyesha Mradi Mkubwa wa Ujenzi

Harmonize Atamani Kuwa Baba, Aonyesha Mradi Mkubwa wa Ujenzi

Msanii nyota wa Bongo Fleva, Harmonize, ameonesha hatua nyingine kubwa katika maisha yake ya kifedha na ya binafsi baada ya kuposti kwenye Instagram Story picha ya mjengo mkubwa unaoendelea kujengwa, ishara ya mafanikio na uthibitisho wa ndoto alizowahi kuzielezea huko nyuma. Picha hiyo, iliyopambwa na maneno “My future so bright, I need a son now”, […]

Read More
 Wakazi Akosoa Mikataba Kandamizi kwa Wasanii Tanzania, Atumia Kisa cha Harmonize Kuonyesha Unyonyaji

Wakazi Akosoa Mikataba Kandamizi kwa Wasanii Tanzania, Atumia Kisa cha Harmonize Kuonyesha Unyonyaji

Msanii wa Hip Hop nchini Tanzania, Wakazi, ameibua mjadala mkali mitandaoni baada ya kukosoa vikali aina ya mikataba wanayopewa wasanii wachanga na baadhi ya lebo kubwa za muziki nchini humo. Kupitia chapisho lake kwenye mtandao wa Instagram, Wakazi alisema kuwa mikataba mingi inalenga kuwanufaisha wamiliki wa lebo huku wasanii wakibaki bila mamlaka ya kazi zao […]

Read More
 Harmonize Ajibu Kwa Hasira Tuhuma za Kumdai Ibraah

Harmonize Ajibu Kwa Hasira Tuhuma za Kumdai Ibraah

Staa wa muziki wa Bongo Fleva na mwanzilishi wa lebo ya Konde Gang, Rajab Abdul Kahali maarufu kama Harmonize, hatimaye ameweka wazi uhusiano wa sasa kati yake na aliyekuwa msanii wake, Ibraah. Hili ni baada ya tetesi nyingi kuzagaa kuhusu kuvunjika kwa ushirikiano wao uliodumu kwa miaka minne. Kupitia mitandao yake ya kijamii, Harmonize alithibitisha […]

Read More
 Harmonize atangaza ujio wa wimbo mpya kuhusu wapenzi wa zamani

Harmonize atangaza ujio wa wimbo mpya kuhusu wapenzi wa zamani

Mwanamuziki wa Bongofleva Harmonize ametangaza kuachia wimbo mpya Ijumaa hii, kueleka siku ya kutoa wimbo huo, Kupitia Insta Story yake kwenye mtandao wa Instagram Harmonize ametoa ufafanuzi kuhusu wimbo wake mpya unaotarajiwa kutoka, akisisitiza kuwa hauhusiani na mpenzi wake wa zamani. “HAIHUSINI NA X WANGU YEYOTE!!! NINA HESHIMA KUBWA SANA KWAO WOTE.”, Amesema Harmonize. Kiongozi […]

Read More
 Bahati adokeza ujio wa kolabo yake na Harmonize

Bahati adokeza ujio wa kolabo yake na Harmonize

Wakati bado Bahati anaendelea kufanya vizuri na wimbo wake mpya ‘Nowe Sweety,’ ameonyesha kuwa hataki kulaza damu kuhusu muziki,ameonekana ujio wa kazi yake mpya na msanii wa BongoFleva Harmonize. Kupitia ukurasa wake wa Instagram Bahati amepost picha akiwa na Harmonize na kuandika ‘2023 are You Ready for Us??? Brother  @Harmonize_tz ‘ na Harmonize akajibu kwa kuandika ‘SEND IT BRO I HAVE […]

Read More
 Harmonize amkingia Diamond kwa kukosa show nchini Rwanda

Harmonize amkingia Diamond kwa kukosa show nchini Rwanda

Msanii Harmonize ameonyesha uzalendo kwa kumuombea msamaha msanii mwenzake Diamond Platnumz huko nchini Rwanda kutokana na Diamond kushindwa kufika kwenye show aliyotakiwa aifanye December 23 mwaka jana jijini Kigali, pale BK Arena. Kwenye mahojiano aliyoyafanya na RwandaTV Harmonize mwishoni alikuwa akipewa shukurani ya kufika kwenye kipindi na akatumia nafasi hiyo kuomba msamaha kwa wanyarwanda kwa […]

Read More
 Harmonize na Rayvanny watupiana maneno makali mtandaoni

Harmonize na Rayvanny watupiana maneno makali mtandaoni

Msanii wa Bongofleva, Rayvanny ametapika nyongo kumuhusu Harmonize, ni vita ya maneno ambayo ilianzia kwenye insta story kufuatia Harmonize kuwataka wasanii kuacha kuimba nyimbo za kutukuza pombe kwani zinaharibu Jamii. Tamko hili lilimgusa Rayvanny ambaye aliibuka na kumjibu Harmonize kwamba, asiongee chochote kuhusu nyimbo za pombe kwani hajawahi kufanya nyimbo za aina hiyo na zikafanya […]

Read More
 Harmonize awaasa wasanii kupunguza nyimbo za pombe

Harmonize awaasa wasanii kupunguza nyimbo za pombe

Msanii wa Bongo Fleva Harmonize amewashauri wasanii wenzake wapunguze kuimba nyimbo za pombe hasa mwezi huu wa januari. Kupitia ukurasa wake wa Instagram amesema sio watu wote wanakunywa pombe ila nyimbo za kuhamasisha pombe zimekuwa nyingi sana. “Wasanii punguzeni nyimbo za pombe..msidhanii hii nchi kila mtu ni mlevi..Hata tunaokunywa juma 3 hatunywi tukizisikia nyimbo za […]

Read More