Kajala sio meneja tena Konde Music Worldwide

Kajala sio meneja tena Konde Music Worldwide

Meneja wa Harmonize, Dk. Sebastian Ndege maarufu Jembe ni Jembe amefichua kuwa Kajala Msanja sio Meneja tena katika Lebo ya Konde Music Worldwide yake Harmonize. Hata hivyo, amesema Kajala ameendelea kuwa mwanafamilia na anaamini mahusiano yake na Harmonize hayajawahi kuharibu kazi. “Yeye ni mpenzi wa zamani wa msanii wangu ila sio sehemu ya Lebo, alikuwa […]

Read More
 Harmonize amshukuru Sallam SK kumtaja namba 10 kwa wasanii waliofanya vizuri 2022

Harmonize amshukuru Sallam SK kumtaja namba 10 kwa wasanii waliofanya vizuri 2022

Hitmaker wa “Outside”, Msanii Harmonize ameshukuru meneja wa Diamond Platnumz, Sallam SK kwa kumuweka kwenye orodha ya wasanii waliofanya vizuri mwaka 2022. Kupitia insta story yake amemshukuru Sallam SK kwa kumtaja namba 10 katika list yake ambapo ameenda mbali zaidi na kujifananisha na mchezaji nyota Duniani, Lionel Messi ambaye huvaa jezi namba kumi mgongoni. “Thank […]

Read More
 Harmonize kutambulisha meneja na wasanii wapya Konde Gang

Harmonize kutambulisha meneja na wasanii wapya Konde Gang

Baada ya kuachana na aliyekuwa Meneja wake lakini pia mpenzi wake Kajala Frida , Msanii wa Bongofleva Harmonize ametangaza rasmi kutambulisha meneja wake mpya kama Suprise kwenye usiku wa Harmo-Night , show yake ya kufungia mwaka anayotarajia kuifanya siku ya tarehe 25 mwezi huu. Kupitia insta story, Harmonize amefunguka kuutumia usiku huo pia kutambulisha wasanii […]

Read More
 Ngoma ya  Harmonize ‘Weed Language’ yarejeshwa Youtube

Ngoma ya Harmonize ‘Weed Language’ yarejeshwa Youtube

Ngoma ya ‘Weed language’ ya staa wa muziki wa Bongo Fleva , Harmonize imerejeshwa tena katika mtandao wa Youtube wa msanii Konshens masaa kadhaa yaliyopita. Harmonize jana kupitia ukurasa wake wa kijamii wa instagram aliahidi atauondoa wimbo huo kwenye mitandao yote ya kijamii baada ya kukiri kuwa maudhui ya wimbo huo yanakiuka maadili, mila na […]

Read More
 Harmonize atangaza kuanza kutoza KSh. Millioni 5.2 kwa kolabo

Harmonize atangaza kuanza kutoza KSh. Millioni 5.2 kwa kolabo

Msanii wa Bongofleva Harmonize ameweka wazi rasmi kwa sasa anaanza kutoza kiasi cha KSh. Milioni 5.2 kwa ajili ya kufanya naye Kolabo, lakini sharti la kwanza wimbo uwe mkali. Kupitia insta story yake kwenye mtandao wa Instagram amekazia kwamba kuna mtu fulani atamtoza kiasi cha KSh. Milioni 26 atakapo hitaji kolabo naye. Lakini pia Harmonize amebainisha kwamba […]

Read More
 Meneja wa Diamond, Sallam SK ajibu disstrack ya Harmonize

Meneja wa Diamond, Sallam SK ajibu disstrack ya Harmonize

Meneja wa mwanamuziki Diamond Platnumz, Sallam SK amemjibu Harmonize kufuatia mashairi yake kwenye wimbo “Champion” alioshirikishwa na rapa Kontawa. Harmonize kwenye sehemu fupi ya wimbo huo aliimba kwamba, kwa sasa Konde Gang ni Jeshi la watu wawili akiwa na maana kwamba ni yeye na Ibraah pekee yaani baada Killy, Cheed na Anjella kujiondoa. Sallam ama […]

Read More
 Mchumba wa Harmonize, Kajala Masanja athibitisha kuwa mjamzito

Mchumba wa Harmonize, Kajala Masanja athibitisha kuwa mjamzito

Mchumba wa msanii Harmonize, Kajala Masanja amewafunga midomo walimwengu mara baada ya kuthibitisha kuwa ana ujauzito wa Bosi wa Konde Gang. Kupitia instastory yake ameposti kipande cha video akilishika tumbo lake linaloonekana ni mjamzito na kuandika; “I can’t wait…” ujumbe ambao umewaaminisha mashabiki kuwa kweli ni mjamzito. Hata hivyo wajuzi wa mambo kwenye mitandao ya […]

Read More
 Harmonize akanusha kumdai Anjella shillingi millioni 52

Harmonize akanusha kumdai Anjella shillingi millioni 52

Bosi wa lebo ya Konde Music Worldwide, Msanii Harmonize ameamua kuvunja kimya chake juu ya stori zinazotembea mtandaoni kuhusu kumkimbia msanii wake Anjella. Kupitia instastoy yake Harmonize ameweka wazi kuwa ni kweli amefika mwisho wa kumsapoti Anjella, hivyo kwa yeyote mwenye uwezo anaruhusiwa kumshika mkono msanii huyo bila pingamizi. Hitmaker huyo wa “Leave Me Alone […]

Read More
 Harmonize atangaza utaratibu mpya wa Promotion ya Album yake mpya.

Harmonize atangaza utaratibu mpya wa Promotion ya Album yake mpya.

Staa wa muziki nchini Harmonize ametangaza rasmi hatoifanyia promotion album mpya kama ilivyoozeka kwa wasanii wengine kufanya mkutano na waandishi wa habari, Ziara kwenye vyombo vya habari, kuweka bango lolote barabarani au kufanya listening party. Harmonize amebainisha hayo kupitia insta story yake kwa kueleza kwamba ameshafanya kila kitu (studio), hivyo anataka mashabiki wasikilize muziki mzuri aliouandaa. […]

Read More
 Harmonize adai kusepa na hela ya promota wa Nigeria

Harmonize adai kusepa na hela ya promota wa Nigeria

Promota wa show kutoka Nchini Nigeria Deejay Chii analalamika kuwa msanii wa Bongofleva Harmonize ameshindwa kufanya show nchini Canada baada ya kulipwa kiasi cha Kshs. millioni 1.2. Kupitia video inayosambaa mtandaoni Deejay Chii anasema licha ya kuwa walishafanya makubaliano na Harmonize kiasi cha kumlipa pesa zote alizokuwa anahitaji, Hitmaker huyo wa “Leave Me Alone” ameingiwa […]

Read More