Muonekano Mpya wa Upara wa Harmonize Wazua Mjadala

Muonekano Mpya wa Upara wa Harmonize Wazua Mjadala

Staa wa muziki kutoka Tanzania, Harmonize, ameibua gumzo mitandaoni baada ya kufichua muonekano wake mpya wa upara muda mfupi tu baada ya kuwasili nchini Kenya kwa shughuli zake za kimuziki. Picha zake zikimuonyesha akiwa na mtindo huo mpya zilisambaa kwa kasi, na mashabiki wengi wameanza kutoa maoni mseto kuhusu hatua hiyo ya ghafla. Baadhi ya […]

Read More
 Wakenya Watishia Kususia Shoo za Harmonize

Wakenya Watishia Kususia Shoo za Harmonize

Baadhi ya Wakenya kwenye mitandao ya kijamii wameonyesha wazi kutoridhishwa na msanii wa Bongo Fleva, Harmonize, wakitishia kususia shoo zake zote zitakazofanyika nchini Kenya baada ya msanii huyo kuwasili nchini humo kwa ziara ya kikazi. Wengi wao mtandaoni wamesema hawatohudhuria shoo zake, wakimtuhumu kwa kukaa kimya wakati Watanzania walikumbwa na madhila ya kisiasa. Baadhi wamesisitiza […]

Read More
 Harmonize Atinga Studio Kuandaa Wimbo Maalum wa Kupoza Mioyo ya Watanzania

Harmonize Atinga Studio Kuandaa Wimbo Maalum wa Kupoza Mioyo ya Watanzania

Msanii nyota wa muziki wa Bongo Fleva, Harmonize, ameingia studio kuandaa wimbo maalum unaolenga kuwatuliza na kuwapooza mioyo Watanzania kufuatia machafuko yaliyoshuhudiwa hivi karibuni nchini humo. Kupitia Instastory yake, Harmonize ameposti video akiwa studioni akifanya mazoezi ya sauti kwa wimbo mpya ambao inadaiwa unaweza kuitwa “Don’t Be So Emotional”, kutokana na maneno aliyosikika akiimba katika […]

Read More
 Harmonize Atoa Salamu za Pole kwa Wakenya Kufuatia Kifo cha Raila Odinga

Harmonize Atoa Salamu za Pole kwa Wakenya Kufuatia Kifo cha Raila Odinga

Mwanamuziki nyota wa Tanzania, Harmonize, ameungana na viongozi na mashabiki mbalimbali kutoka Afrika Mashariki kutuma salamu za rambirambi kwa Wakenya kufuatia kifo cha kiongozi wa upinzani, Raila Odinga. Kupitia Insta Stories zake, Harmonize amerepost ujumbe wa Rais Samia Suluhu Hassan akieleza masikitiko yake juu ya kifo hicho, na akaambatanisha na ujumbe wake wa kuonesha mshikamano […]

Read More
 Harmonize Atangaza Kolabo Mpya na Alikiba

Harmonize Atangaza Kolabo Mpya na Alikiba

Staa wa muziki wa Bongo Fleva, Harmonize, ametangaza ujio wa kolabo yake na Alikiba, jambo lililowasisimua mashabiki wengi wa muziki Afrika Mashariki. Kupitia ukurasa wake wa Instagram, Harmonize amesema kuwa wimbo huo mpya unakuja hivi karibuni na ameuhakikishia umma kuwa utakuwa hit ya mwaka. Hatua hii imeonekana kama ishara ya umoja mpya katika muziki wa […]

Read More
 Harmonize Aingia Mchujo wa Grammy 2025

Harmonize Aingia Mchujo wa Grammy 2025

Msanii nyota wa Bongo Fleva, Harmonize, ametambuliwa rasmi na Recording Academy kwa kazi nne alizoshiriki ambazo zimezingatiwa katika mchakato wa Tuzo za Grammy za mwaka 2025. Kupitia ukurasa wake wa Instagram, Harmonize ameonyesha furaha yake kwa hatua hiyo, akisema kuwa mwaka 2025 umeanza vyema na akawahimiza mashabiki wake waendelee kusukuma gurudumu la mafanikio zaidi. Kazi […]

Read More
 Harmonize Afurahia Mapokezi Makubwa ya Video ya “LALA”

Harmonize Afurahia Mapokezi Makubwa ya Video ya “LALA”

Msanii nyota wa Bongo Fleva, Harmonize, amejipatia sifa kemkem baada ya mashabiki wake kuipokea kwa kishindo video ya wimbo wake mpya “LALA” aliyomshirikisha Abby Chams. Video hiyo, ambayo imekuwa gumzo mitandaoni, imepewa nyota tano na mashabiki wengi, huku ikitajwa kuwa Video Bora ya Mwaka 2025 katika ukanda wa Afrika Mashariki. Harmonize kupitia ukurasa wake wa […]

Read More
 Harmonize Aibua Maswali kwa Kuficha Sura ya Mpenzi Mpya

Harmonize Aibua Maswali kwa Kuficha Sura ya Mpenzi Mpya

Msanii nyota wa Bongo Fleva, Harmonize, ameibua gumzo mitandaoni baada ya kuonyesha dalili za kuwa kwenye uhusiano mpya wa kimapenzi. Kupitia Insta Story yake, Harmonize amepost picha na video zikimuonesha akiwa na mrembo anayesemekana kuwa mpenzi wake mpya huku akificha sura yake. Hatua hiyo imezua minong’ono miongoni mwa mashabiki ambao wamekuwa wakijiuliza ni nani haswa […]

Read More
 Harmonize Atangaza Kukamilika kwa Albamu Mpya “31”

Harmonize Atangaza Kukamilika kwa Albamu Mpya “31”

Staa wa muziki wa Bongo Fleva, Harmonize, ametangaza rasmi kukamilika kwa albamu yake mpya inayojulikana kwa jina la “31”, akieleza kuwa kazi hiyo ni muhtasari wa maisha yake binafsi na safari ya muziki aliyopitia kwa miaka mingi. Kupitia ukurasa wake wa Instagram, Harmonize ameutaarifu umma kuhusu hatua hiyo muhimu katika taaluma yake, akifichua kuwa albamu […]

Read More
 Harmonize Atoa Shukrani kwa Mashabiki, Aahidi Makubwa Kutoka Konde Gang

Harmonize Atoa Shukrani kwa Mashabiki, Aahidi Makubwa Kutoka Konde Gang

Staa wa muziki kutoka Tanzania, Harmonize, ameonyesha shukrani zake kwa mashabiki wake duniani kote kufuatia akaunti yake ya Instagram kufikisha wafuasi milioni 3. Kupitia ujumbe maalum aliouweka mtandaoni, Harmonize amewashukuru mashabiki kwa sapoti ya dhati waliyoitoa tangu alipoanza safari yake ya muziki. Mbali na hilo, Harmonize alitumia nafasi hiyo pia kutangaza kuwa kufikia mwisho wa mwaka […]

Read More
 Harmonize Atoa Wito kwa Wasanii Watumie Singeli Kuelimisha Jamii

Harmonize Atoa Wito kwa Wasanii Watumie Singeli Kuelimisha Jamii

Mwanamuziki nyota kutoka Tanzania, Harmonize, amewataka wasanii kutumia muziki wa Singeli kuibua mijadala ya kijamii na kupeleka ujumbe wenye maana kwa jamii badala ya kuishia kwenye burudani ya kawaida. Kupitia ukurasa wake wa Instagram, Harmonize alisema kuwa Singeli ni mtindo wa muziki wenye nguvu kubwa ya ushawishi na unastahili kutumiwa kuelimisha, kukuza maadili, na kuunganisha […]

Read More