Cheed na Killy wafuta urafiki na Harmonize Instagram

Cheed na Killy wafuta urafiki na Harmonize Instagram

Wasanii Cheed na Killy huenda kwa sasa wakawa hawataki kuona chochote kuhusu Harmonize. Wawili hao wameamua kumu-unfollow bosi wao huyo wa zamani katika kurasa zao za Instagram baada ya lebo ya Konde Music Worldwide kusitisha mkataba wao kwa sababu ambazo hawakuziweka wazi. Utakumbuka mwisho mwa wiki iliyopita, Cheed na Killy waliwasilisha lalama zao kwa Baraza […]

Read More
 Harmonize ajiweka namba mbili kwa ukubwa duniani.

Harmonize ajiweka namba mbili kwa ukubwa duniani.

Staa wa muziki wa Bongofleva Harmonize ameendelea kushusha sifa kwa mwanamuziki wa Nigeria Burna Boy kwa hatua kubwa anazopiga katika muziki wake kimataifa na kusema kuwa wapambanaji pekee ndio wanaweza kumuelewa. Kupitia instastory yake ameshare ujumbe akisisitiza kuwa Burna Boy ndiye msanii namba moja kwa sasa Afrika huku akitaja baadhi ya matukio aliyojifunza kutoka kwa […]

Read More
 Harmonize azima tetesi za lebo ya Konde Gang kufilisika

Harmonize azima tetesi za lebo ya Konde Gang kufilisika

Mwanamuziki kutoka nchini Tanzania Harmonize amewafunga mdomo wale wote waliodhani kuwa ameshindwa kuendesha lebo ya Konde Gang. Kupitia insta stori yake kwenye mtandao wa Instagram amefichua mpango wa kutambulisha makao mapya ya lebo hiyo sambamba na kuwasajili wasanii wapya Oktoba 10 mwaka huu wakati Konde Gang itaandhimisha miaka mitatu tangu kuzinduliwa kwake. Hitmaker huyo wa […]

Read More
 HARMONIZE AFUNGUKA CHANZO CHA SARAH KUKIMBIA MAHAKAMANI

HARMONIZE AFUNGUKA CHANZO CHA SARAH KUKIMBIA MAHAKAMANI

Bosi wa Konde Music Worldwide, Msanii Harmonize ameendelea kutoa ya moyoni baada ya aliyekuwa mke wake, Sarah kwenda Mahakamani. Katika mazungumzo na mchumba wake wa sasa Kajala Masanja, amesema sababu ya Sarah kudai talaka ni kuwa anataka wagawane mali. Msanii huyo amedai kuwa hakuna mali yoyote ambayo anapaswa kugawana na mwanamitindo huyo kutoka Italia huku […]

Read More
 HARMONIZE AMWAGIA SIFA KAJALA, ADAI HAKUNA MWANAMKE MZURI ZAIDI YAKE

HARMONIZE AMWAGIA SIFA KAJALA, ADAI HAKUNA MWANAMKE MZURI ZAIDI YAKE

Penzi la Harmonize na mchumba wake Kajala Masanja linazidi kushamiri kila kukicha na kuwafanya wenye makasiriko kusubiriwa wajinyonge. Kupitia mfululizo wa Instastory zake, Harmonize amemwagia sifa kajala kwa kusema kuwa hakuna mwanamke mzuri kwa sasa anayemzidi mwanamama huyo. Harmonize ambaye anafanya vizuri na ngoma zake mbili, “Nitaubeba” pamoja na “Amelowa” anasema kwamba penzi lao linazidi […]

Read More
 PAULA KAJALA AMUITA HARMONIZE BABA KWA MARA YA KWANZA

PAULA KAJALA AMUITA HARMONIZE BABA KWA MARA YA KWANZA

Hatimaye mtoto wa mpenzi wa mwanamuziki Harmonize, Kajala Masanja, aitwaye Paula kwa mara ya kwanza amemtambua Harmonize kama baba yake hadharani kupitia ukurasa wake wa instagram (insta story yake). Paula amemtaja Harmonize kama baba yake akishare kionjo cha wimbo mpya wa Harmonize uitwao Amelowa. Kupitia Instastory yake Paula amepost video hiyo na kisha kuandika “Baba […]

Read More
 HARMONIZE KUISHTAKI KAMPUNI YA UCHINA KWA TUHUMA ZA WIZI

HARMONIZE KUISHTAKI KAMPUNI YA UCHINA KWA TUHUMA ZA WIZI

Staa wa muziki wa Bongofleva Harmonize amemtaka meneja wake Kajala Frida kuichukulia hatua za kisheria kampuni moja kutoka China ambayo inatengeneza cheni zenye chapa yake ya Konde Boy. Kupitia Insta story yake kwenye mtandao wa Instagram, Harmonize ameeleza kwamba bila makubaliano yoyote, kampuni hiyo inatengeneza pesa kupitia chapa (brand) yake na inaziuza cheni hizo katika […]

Read More
 HARMONIZE AMVISHA PETE YA UCHUMBA KAJALA MASANJA

HARMONIZE AMVISHA PETE YA UCHUMBA KAJALA MASANJA

Msanii wa Bongofleva Harmonize amemvisha pete ya uchumba Mwigizaji Kajala Masanja ikiwa ni siku chache toka wawili hao warudiane baada ya penzi lao kuvunjika kipindi cha nyuma. Tukio hilo limefanyika Jumamosi Juni 25,mwaka 2022  katika hoteli ya Serena huku likihudhuriwa na watu wa karibu wa wasanii hao ukiwemo uongozi wa lebo ya Konde Gang. Wakati […]

Read More
 PENZI LA HARMONIZE LAMPONZA KAJALA

PENZI LA HARMONIZE LAMPONZA KAJALA

Hakuna ubishi kuwa penzi la Staa wa Bongofleva toka Konde Music, Harmonize na Kajala linaendelea kutaradadi kila uchao baada ya wawili hao kurudiana wiki kadhaa zilizopita. Kwa sasa Harmonize yupo katika ziara ya kimuziki jijini Goma, DR Congo na kwa kweli Kajala ameshindwa kuvumilia upweke nyumbani. Muigizaji huyo ametumia ukurasa wake wa Instagram kuthibitisha mahaba […]

Read More
 HARMONIZE AWAPA SOMO WANAUME, TAFUTENI HELA

HARMONIZE AWAPA SOMO WANAUME, TAFUTENI HELA

Msanii mkubwa wa muziki nchini Tanzania na CEO wa Lebo ya Konde Music amewashauri wanaume kutafuta hela ili kuboresha uhusiano kati yao na wapenzi wao. Kwa mujibu wa Harmonize, hatua ya kuomba msamaha huwa rahisi zaidi wakati mwanaume anapomsapoti mpenzi wake kihela, Alishauri kwamba mwanaume anapaswa kutumia hela kumfanya mwanamke asahau makosa yake badala ya […]

Read More
 FRIDAH KAJALA ATAMBULISHWA KAMA MENEJA WA HARMONIZE

FRIDAH KAJALA ATAMBULISHWA KAMA MENEJA WA HARMONIZE

Ni Rasmi sasa mwanadada Fridah Kajala ni meneja wa Lebo ya Konde Music Worldwide. Kajala ameongezeka kwenye uongozi wa Konde music ikiwa ni tamanio la Harmonize ambaye ndiye CEO wa lebo hiyo, kumtaka asimamie biashara yake ya Muziki. Kajala ametangazwa rasmi na Choppa_ambaye ni mmoja wa mameneja wa Harmonize, kupitia ukurasa wake wa Instagram kwa […]

Read More
 HARMONIZE AWAJIBU WANAOMU-DISS KWA KUTOBOA PUA

HARMONIZE AWAJIBU WANAOMU-DISS KWA KUTOBOA PUA

Staa wa Muziki wa Bongofleva Harmonize ameamua kuwajibu wanaomkosoa baada ya Kuonekana akiwa ametoboa pua na kuweka kipini puani. Kupitia ukurasa wake wa Instagram Harmonize amesema hafanyi hivyo kwa ajili ya kufanana na Wamarekani Weusi , Bali kuwakilisha Tamaduni za Kabila lake la Makonde. Hatua ya Harmonize kutoboa pua’ yake inakuja siku chache baada ya […]

Read More