HARMONIZE KUMUACHIA KAJALA MAJUKUMU YOTE YA KIBIASHARA KWENYE MUZIKI WAKE

HARMONIZE KUMUACHIA KAJALA MAJUKUMU YOTE YA KIBIASHARA KWENYE MUZIKI WAKE

Staa wa muziki wa Bongofleva, Harmonize anaendelea kuweka wazi matamanio yake ya kumfanya aliyekuwa mpenzi wake Kajala Frida kuwa Meneja wake akiamini kuwa kufanya hivyo kutaongeza kitu kwenye uongozi wake kutokana na akili yake. Kupitia ukurasa wake wa Instagram harmonize amesema kwamba ifikapo mwezi Juni mwaka huu ataacha kujihusisha na majukumu ya biashara ya muziki […]

Read More
 HARMONIZE ATANGAZA JINA LA BRAND YAKE YA SIGARA

HARMONIZE ATANGAZA JINA LA BRAND YAKE YA SIGARA

Msanii nyota wa Bongofleva Harmonize ametangaza rasmi bidhaa yake ya Sigara iitwayo “Tembo Cigarette”. Kupitia Instagram yake Harmonize ameomba wadau kuwekeza pesa lakini pia washirika wa Kibiashara wajitokeze kwa ajili ya kuisukuma biashara hiyo. Ikumbukwe boss huyo wa Konde Gang tarehe 5 mwezi huu kupitia insta story yake aliweka wazi kwa mara ya kwanza kuwa […]

Read More
 HARMONIZE ATOA UFAFANUZI KUHUSU TAMASHA LA AFRO EAST CARNIVAL

HARMONIZE ATOA UFAFANUZI KUHUSU TAMASHA LA AFRO EAST CARNIVAL

Staa wa Muziki nchini Tanzania Harmonize ametoa ufafanuzi kuhusu Tamasha la Afro East Carnival msimu wa pili. Kupitia Ukurasa wake wa Instagram harmonize amesema Tamasha hilo linalotarajiwa Kufanyika Mei 29,mwaka 2022 katika Uwanja wa Uhuru,jijini Dar es salaam hakutokuwa na Wasanii waalikwa kama ilivyokuwa kwenye Tamasha la kwanza alilotangaza List ya Wasanii waliomsindikiza. Harmonize amebainisha […]

Read More
 HARMONIZE AANIKA RASMI JINA LA ALBUM YAKE MPYA

HARMONIZE AANIKA RASMI JINA LA ALBUM YAKE MPYA

Staa wa Muziki wa Bongofleva Harmonize Ametangaza jina Rasmi la Album yake ambayo itaingia sokoni mwezi ujao. Kupitia insta story yake kwenye mtandao wa Instagram Harmonize ameipa album hiyo jina la “Smoker Vision na ameweka wazi album hiyo itatoka mwezi Juni mwaka huu wa 2022 Boss huyo wa Konde Gang ambaye jana aliweka wazi kuja […]

Read More
 HARMONIZE MBIONI KUJA NA BRAND YAKE YA SIGARA

HARMONIZE MBIONI KUJA NA BRAND YAKE YA SIGARA

Staa wa muziki kutoka nchini Tanzania Harmonize anataka kukibadilisha Kikohozi chake kuwa biashara. Kupitia instastory yake kwenye mtandao wa Instagram Harmonize ametangaza kuja na bidhaa yake ya Sigara ambapo amewaomba mashabiki zake kumpa Jina zuri na kumsaidia kubuni muundo wa Sigara hizo. Boi huyo wa Konde Gang Worldwide ametambua kuwa kwa hatua aliyofikia, si muziki […]

Read More
 HARMONIZE KUPOKEA GARI ALILOMNUNULIA EX WAKE IJUMAA HII

HARMONIZE KUPOKEA GARI ALILOMNUNULIA EX WAKE IJUMAA HII

Staa wa muziki kutoka nchini Tanzania Harmonize ameweka wazi kuwa siku ya Ijumaa atapokea gari jipya kutoka nchini Afrika Kusini aina ya Range Rover yenye rangi nyeusi kwa ajili ya aliyekuwa mpenzi wake Kajala Frida Staa huyo amelithibitisha hilo kupitia instastory yake kwenye mtandao wa Instagram  kwa kuweka video ikionesha gari la kwanza aina (Range […]

Read More
 HARMONIZE AWEKA WAZI TAREHE YA KUACHIA ALBUM YAKE MPYA

HARMONIZE AWEKA WAZI TAREHE YA KUACHIA ALBUM YAKE MPYA

Staa wa Muziki wa Bongofleva Harmonize Hataki kupoa kwenye harakati za kuupeleka muziki wake kimataifa hii ni baada ya kumetangaza Tarehe atakayoachia Album yake Mpya. Kupitia InstaStory yake kwenye mtandao wa Instagram Harmonize Ametangaza kuwa Ataachia Album yake Mpya Mei 20 Mwaka huu. Mapema mwezi Februari mwaka huu harmonize  alitangaza ujio wa High school Deluxe Album version, mara baada ya album yake ya high […]

Read More
 HARMONIZE NA ERIC OMONDI WAMALIZA TOFAUTI ZAO

HARMONIZE NA ERIC OMONDI WAMALIZA TOFAUTI ZAO

Wasanii Harmonize  na Eric Omondi hatimaye wamemaliza tofauti zao kwa kusameheana kufuatia matukio yaliyojiri Jumapili Mei mosi, 2022. Baada ya uvumi wa ugomvi wake na Harmonize, Eric Omondi ameomba radhi kutokana na kisa hicho ambacho kinadaiwa kuwafanya yeye na nyota huyo kutoka Tanzania kukaa karibu siku nzima katika kituo cha polisi cha Kileleshwa jijini nairobi. […]

Read More
 HARMONIZE AZIDI KULILIA PENZI LA KAJALA, AMNUNULIA GARI AINA RANGE ROVER EVOQUE

HARMONIZE AZIDI KULILIA PENZI LA KAJALA, AMNUNULIA GARI AINA RANGE ROVER EVOQUE

Staa wa muziki wa Bongofleva Harmonize bado anaendelea kulilia penzi la mpenzi wake wa zamani Fridah Kajala mtandaoni. Kupitia ukurasa wake wa Instagram ametangaza kumnunulia gari aina ya Range Rover Evoque yenye jina lake “Kajala 1” kwenye Number Plate. Hitmaker huyo wa ngoma ya “Mdomo” amechapisha sehemu ya video ikionesha gari hilo na kuandika maneno […]

Read More
 HARMONIZE ATANGAZA ZIARA YA “HIGH SCHOOL” BARANI ULAYA

HARMONIZE ATANGAZA ZIARA YA “HIGH SCHOOL” BARANI ULAYA

Msanii wa Bongofleva, Harmonize ametangaza tour barani Ulaya kwa ajili ya albamu yake ya pili, High School. Bosi huyo wa lebo ya muziki ya Konde Music Worldwide amethibitisha ujio wa ziara hiyo kupitia ukurasa wake wa Instagram ambapo amesema itaanza Julai 2 hadi Agosti 6 mwaka huu. Harmonize ambaye anafanya vizuri na ngoma yake “Bakhresa” […]

Read More